SIPENDI SIASA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 791
- 1,199
Yes. Kamati ya chama husika ngazi ya Wilaya, Mkoa au Taifa wanakaa kuchagua mwingine kutoka ndani ya Jimbo lile lile ili kuokoa fedha kwa maana wakati wa JPM ni pesa nyingi mnoo zilitumika katika marudio ya chaguzi mbalimbali..Uko sahihi, hakuna haja ya uchaguzi kwa mbunge na diwani aliyehama chama au aliyefariki au aliyeteuliwa katika nafasi nyingine.
Mkuu, siamini kabisa katika ushirikina.Watarogana
Hapana, wape wananchi haki ya kuchagua wanayemtaka, siyo kamati za watu. Quite undemocratic.Mkuu Retired karibu sana..
Demokrasia ni gharamaEti wadau, hii itasaidia kupunguza matumizi kwa hizi third world countries kama Tanzania?? How does this sound..
Mfano: Kafa Magufuli, akaingia Philip Mpango bila gharama za uchaguzi..
~ SIPENDI SIASA ~
Mbona Philip Mpango aliingia bila uchaguzi??..Kwa logic hiyo futa uchaguzi kabisa twende na mfalme mmoja na familia yake tu.
Mkuu, kwa hiyo kwa logic hiyo, makamu wa Rais wa sasa (Rais number 2) hana baraka za watanzania??..Demokrasia ni gharama
.huyo aliyekufa ndiye alikuwa chaguo lao. Huyu hana baraka za wapiga kura
Bila shaka hapa unazungumzia mabadiliko ya kikatiba..Ila kama watanzania kupitia sanduku la kura wamekubali utaratibu huo, it is well and fine.
Mkuu, kumbuka pia huyu aliyekufa au kuhama chama pia alipitishwa na hizo hizo kamati before going to the ballot box..Demokrasia ni gharama
.huyo aliyekufa ndiye alikuwa chaguo lao. Huyu hana baraka za wapiga kura
Waambie wawe wanastaafu sio mpaka wafie madarakani mtu anagombea ubunge na udiwani zaidi ya miaka 10 mpaka anakufa yupo madarakani kustaafu hawataki ina maana hakuna vijana wenye akili mpya mpya wanaomaliza kusoma elimu zao kila uchao?~ SIPENDI SIASA ~
Haiwezi kuongezeka..Idadi ya vifo haitaongezeka kweli?
Kung'ang'ania madaraka kama Freeman Assad Mbowe..Waambie wawe wanastaafu sio mpaka wafie madarakani mtu anagombea ubunge na udiwani zaidi ya miaka 10 mpaka anakufa yupo madarakani kustaafu hawataki ina maana hakuna vijana wenye akili mpya mpya wanaomaliza kusoma elimu zao kila uchao?
Marekani senator akijiuzulu, akiteuliwa kwa nafasi nyingine au akifariki Gavana wa jimbo anateua senator mwingine kujaza hiyo nafasi.Kwa logic hiyo futa uchaguzi kabisa twende na mfalme mmoja na familia yake tu.