Mbona Rais akifa makamu wake anamrithi bila uchaguzi?Hapana, wape wananchi haki ya kuchagua wanayemtaka, siyo kamati za watu. Quite undemocratic.
Ila kama watanzania kupitia sanduku la kura wamekubali utaratibu huo, it is well and fine.
..kwa nchi za dunia ya kwanza na at least dunia ya pili. Marudio ya chaguzi Kwa nchi za dunia ya tatu ni anasa mno mkuu..Demokrasia ni gharama
Hata Philip Mpango kuingia bila uchaguzi haikutakiwa. Angalau angethibitishwa na bubge, lakini kwa upande mwingine kumthibitisha kiongozi wa pili katika ezecutive bungeni kuna matatizo yaje.Mbona Philip Mpango aliingia bila uchaguzi??..
Really?? I didn't know this before. Na hao ndio matajiri na wanabana matumizi, sembuse sisi walalahoi..Marekani senator akijiuzulu, akiteuliwa kwa nafasi nyingine au akifariki Gavana wa jimbo anatea senator mwingine kujaza hiyo nafasi.
si tunadai demokrasia? lakini kama unavyosema, lazima tuangalie uchumi wetu, mazingira yetu etc etc..kwa nchi za dunia ya kwanza na at least dunia ya pili. Marudio ya chaguzi Kwa nchi za dunia ya tatu ni anasa mno mkuu..
Watu wa Jimbo lake tu na sio watanzania wa kila Jimbo..Kumteua Philip Mpango kuwa Makamu wa Rais, mtu aliyekuwa mbunge na waziri, maana yake kashachaguliwa na watu kuingia bungeni
Gavana wa Illinois alifungwa miaka mingi tu gerezani alipotaka kuuza nafasi ya useneta ya Obama baada ya Obama kuchaguliwa Rais. FBI walimnasa katika njama za kuuza kiti cha useneta.Really?? I didn't know this before. Na hao ndio matajiri na wanabana matumizi, sembuse sisi walalahoi..
..kwa maoni yangu, hii si demokrasia sahihi kwa nchi masikini za dunia ya tatu. Unakumbuka marudio ya chaguzi enzi za JPM?? Ile ilikuwa ni anasa kubwa sana aisee.si tunadai demokrasia?
Kwanini??..Tutaanza kuhudhuria misiba mingi, waache wapambane kuomba kura kwa wananchi.!!
UKO SAHIHI KABISA. MATUMIZI MABAYA YA VISENTI KIDOGO TULIVYO NVYO......kwa maoni yangu, hii si demokrasia sahihi kwa nchi masikini za dunia ya tatu. Unakumbuka marudio ya chaguzi enzi za JPM?? Ile ilikuwa ni anasa kubwa sana aisee.
Economy class "riding"....inasaiia kuokoa pesa AU INGELIKUWA YULE ANAYEFUATIA KWA KURA NDIYO AKABE LOFUMbona Rais akifa makamu wake anamrithi bila uchaguzi?
Hatuchagui chama tunachagua Mtu, chama tofauti kinaweza kikawa na mtu mzuri kuliko chama cha yule alieondoka, Hii ni kwa nchi zenye uchaguzi, sio teuzi za Tanzania.Eti wadau, hii itasaidia kupunguza matumizi kwa hizi third world countries kama Tanzania?? How does this sound..
Mfano: Kafa Magufuli, akaingia Philip Mpango bila gharama za uchaguzi..
~ SIPENDI SIASA ~
Ulimchagua Philip Mpango kuwa makamu wa Rais??..Hatuchagui chama tunachagua Mtu, chama tofauti kinaweza kikawa na mtu mzuri kuliko chama cha yule alieondoka, Hii ni kwa nchi zenye uchaguzi, sio teuzi za Tanzania.
AU ALIYEFUATIA KWA KURA NDIYE AWE DIWANI, MBUNGE ETC ET HATA ILE YA URAIS INGELIKUWA HIVYO...ANAYEFUAT KWA KURA ZA WANANCHIEti wadau, hii itasaidia kupunguza matumizi kwa hizi third world countries kama Tanzania?? How does this sound..
Mfano: Kafa Magufuli, akaingia Philip Mpango bila gharama za uchaguzi..
~ SIPENDI SIASA ~
Hahahaaa, mkuu kwa hapa kuna michezo michafu ya "Cloak and dagger" inaweza kutumika kwa sababu hiyo aliyefuata kwa kura anajulikana lakini anayeweza kuchaguliwa na kamati hajulikani kwa maana contestants wanakuwa ni wengi (zaidi ya mmoja)..AU ALIYEFUATIA KWA KURA NDIYE AWE DIWANI, MBUNGE ETC ET HATA ILE YA URAIS INGELIKUWA HIVYO...ANAYEFUAT KWA KURA ZA WANANCHI
Wanafanya hivyo, lakini huo si mchakato wa kidemokrasia.Marekani senator akijiuzulu, akiteuliwa kwa nafasi nyingine au akifariki Gavana wa jimbo anateua senator mwingine kujaza hiyo nafasi.
Sawa, lakini hata Waziri Mkuu anachaguliwa na watu wa jimbo lake tu, lakini anakuwa Waziri Mkuu wa nchi nzima kwa msingi wa kuwa mbunge aliyechaguliwa na watu wa jimbo lake tu. At least in theory.Watu wa Jimbo lake tu na sio watanzania wa kila Jimbo..
Ndio maana tuna power Vacum watu wapo kama hawapoUlimchagua Philip Mpango kuwa makamu wa Rais??..
Duuh, balaa..Ndio maana tuna power Vacum watu wapo kama hawapo