Mbunge wa Jimbo la Segerea, Bonnah Kamoli akichangia mjadala wa bajeti ya Wizara ya Uchukuzi kwa mwaka wa fedha 2024/25 leo Mei, 6, 2024 amesema ikiwa suala la fidia ya wananchi wa Kipunguni halitapatiwa maelezo ya kutosha, basi atashika shilingi na hataachia.
Amesema suala hilo limechukua muda mrefu wa takribani miaka 27 na hakuna jambo linaloendelea licha ya wananchi kupewa ahadi za kulipwa fidia zao mara kwa mara.
Kamoli amesema mwaka jana alifatwa na waziri wa uchukuzi na kumwambia sasa wako tayari kulipa na wakaenda wote Kipunguni. Anasema Serikali ilisema itaanza kuwalipa mwezi wa tisa mwaka jana na kuwapa miezi mitatu kuhama baada ya siku ya malipo hivyo wananchi walianza kuvunja nyumba zao kuondoa wapangaji.
Mbunge huyo amesema hawawezi kwenda kuomba kura kwa mazingira waliyoyatengeneza wenyewe.
Duuh hawa jamaa kabla sijaanza chuo wanadai, nimeanza wanadai, ninatafuta kazi wanadai, nimepata wanadai, nimepanda cheo wanadai...ajabu wanapigia kura CCM

Watu wamefariki na kuyaacha malipo.This is sad kamilisha vinginevyo hamia upinzani tukupigie kura la sivyo hupati ubunge na kura za madiwani na Rais mashaka Segerea