Mzee wa Code
Member
- Sep 23, 2024
- 61
- 91
Mbunge wa Jimbo la Momba CONDESTER SICHALWE CCM amelalamika kuwa mawazo, maoni wanayotoa bungeni yamekuwa ayasikizwi na serikali, pamoja na ayo ameongeza kuwa taarifa za ukaguzi za mkaguzi Mkuu wa serikali CAG zimekuwa zikipuuzwa na Serikali.
Soma Pia: Ripoti 21 za CAG zatua Bungeni kwa ajili ya kuanza kujadiliwa
Soma Pia: Ripoti 21 za CAG zatua Bungeni kwa ajili ya kuanza kujadiliwa