Mzee wa Code Member Joined Sep 23, 2024 Posts 61 Reaction score 91 Nov 5, 2024 #1 Mbunge wa Jimbo la Momba CONDESTER SICHALWE CCM amelalamika kuwa mawazo, maoni wanayotoa bungeni yamekuwa ayasikizwi na serikali, pamoja na ayo ameongeza kuwa taarifa za ukaguzi za mkaguzi Mkuu wa serikali CAG zimekuwa zikipuuzwa na Serikali. Soma Pia: Ripoti 21 za CAG zatua Bungeni kwa ajili ya kuanza kujadiliwa Your browser is not able to display this video.
Mbunge wa Jimbo la Momba CONDESTER SICHALWE CCM amelalamika kuwa mawazo, maoni wanayotoa bungeni yamekuwa ayasikizwi na serikali, pamoja na ayo ameongeza kuwa taarifa za ukaguzi za mkaguzi Mkuu wa serikali CAG zimekuwa zikipuuzwa na Serikali. Soma Pia: Ripoti 21 za CAG zatua Bungeni kwa ajili ya kuanza kujadiliwa Your browser is not able to display this video.
edon66 JF-Expert Member Joined Feb 11, 2023 Posts 2,907 Reaction score 9,135 Nov 5, 2024 #2 Hawasikilizwi au hawasikilizani...wt c CCM uko bungeni wandugu wabunge..imekuwaje tena
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 4,978 Reaction score 2,411 Jan 8, 2025 #3 edon66 said: Hawasikilizwi au hawasikilizani...wt c CCM uko bungeni wandugu wabunge..imekuwaje tena Click to expand...
edon66 said: Hawasikilizwi au hawasikilizani...wt c CCM uko bungeni wandugu wabunge..imekuwaje tena Click to expand...