Mbunge CHADEMA atishiwa maisha, kisa fomu dhidi ya Mbowe

Nyie ni zaidi ya Wachawi
 
Bora na wewe mkuu na sisi tumeelewapo!!

Maana wakina kiranga waandika magumu mno!
 
Halafu utaona makamanda uchwara wanaanza kujitutumua na kizungu chao cha ugoko, duh. Yaani alimradi tu waonekane eti ndio wana akili. Kazi ipo mwaka huu.

Inakuuma sana watu wakimwagika kwa lugha ngeni? Lini mtaacha kuwa wapumbavufor Gods sake
 
Andika tu kwa kiswahili utaeleweka. Hapo hata mie ambe sio linguistician nikisahihisha unapata 10% tu. Hizi diploma za kupewa ni shida sana aisee.
Sasa ona wewe umeandika kaneno kamoja tu kakizungu mimi kamenishinda lakini yeye kaandika maneno mengi ya kizungu chepesi walau ameeleweka!
 
Siwataki ccm, siwataki chadema.......nimeamua kuwa bize na kujitafutia ugali wangu,,,,hao wote wapuuzi...wachumia tumbo
 
CCM wampe ulinzi si wana kila kitu?
 
Shida moja ya chama chetu na wanachama wake wengi ni kujiona wakamilifu kwenye kila wanalofanya wakati ukweli ni kwamba kuna baadhi ya maeneo chadema nao ni kama maandazi.
 
Wachungaji wa sasa sio watu wa kuwaamini sana. Bora angesema mwanasiasa wa CCM kuliko mchungaji.
 
Hakuna upinzan kipind hiki.........! CCM mbele kwa mbele
 
Maajabu wote wanaoshabikia uenyekiti wa chadema ni ccm, wanataka waweke mtu wao pale iliwaze kuisambalatisha chadema na bahati nzuri nikwamba makamanda wameshajua mchezo wao mchafu. Chadema kwa sasa bado inamuhitaji mtu imara na jasiri ambaye ni Mbowe tu kwasasa.
 
We kibwengu wa Lumumba acha unafiki .Toa takataka zako. Hofu yangu msije mkatundulissu alaf msingizie Mbowe mana nyie viibilisi hamuoni shida kuua just for political sentiments
 
Andika tu kwa kiswahili utaeleweka. Hapo hata mie ambe sio linguistician nikisahihisha unapata 10% tu. Hizi diploma za kupewa ni shida sana aisee.
Kweli wew ńyani kundule...linguistician ndo nn kwēnye lugha ya malkia?
 
Kenge maji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…