Mbunge CHADEMA atishiwa maisha, kisa fomu dhidi ya Mbowe

Acha porojo, chadema sio ccm, wewe utakuwa umetumwa, i think your way of thinking is too shallow to comprehend how politics works, if anyone has been threatened by mbowe, why not report to police and ccmpolisi will be more than happy to arrest and charge mbowe in court, for thats their goal everyday, stop having fermented porrige in you instead of having brains pls
Pinga kwa hoja.....haya ww mwenyewe wide thoughts tupe hyo hyretorical words.....
 
...yaani Mbowe apite bila kupingwa Uenyekiti licha ya kuwa ameishi zaidi ya mida wa kikatiba."
Walinyofoa kipengele cha ukomo wa uongozi. Yaani Mbowe sasa ruksa kugombea tena na tena na kuongoza ikibidi mpaka 2070. Ndo maana CCM nao wanataka kucopy hii kitu ila cha kushangaza, CHADEMA hawapendi hata kusikia.
 
Hii ni aibu yetu sote

Yanayoendelea ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), yanasikitisha.

Pamoja na wabunge kadhaa wa Chama hicho kuparurana na kutukanana hadharani kisa suala la Mbowe kugombea tena Uenyekiti, sasa hali ya Mbunge wa Chama hicho Cecil Mwambe aliyetangaza kuchukua fomu dhidi ya Mbowe ni mbaya.

"Amelazimika kuishi kwa tahadhari kubwa. Amepanikisha wakubwa zake," kinasema chanzo cha kuaminika.

Mbunge huyo amelaumiwa hadharani na Peter Msigwa Mbunge wa Iringa Mjini kwa kuchukua fomu. Inaelezwa kuwa sasa pia amepokea vitisho kadhaa dhidi ya maisha yake.

"Ndio maana tunasema hiki chama na kwa ujumla upinzani mzima hapa nchini haujajiandaa kuishi katika zama za demokrasia. Amin nawaambieni ni heri CCM inayojibadilisha kila siku kuliko wapinzani wanaodhalilika kila siku kwa kutokiwa tayari kwa mabadiliko," anasema Mchungaji Munga Keason wa Kanisa la Peace and Gospel Fellowship.

Wakati Mwambe akiwa anaishi uhamishoni, mwenzake anayedaiwa pia kwamba atachukua fomu ya Uenyekiti, Mzee Sumaye, amekipata kinachomstahili.

Ameshindwa na kivuli chake. Yani kagombea uenyekiti Kanda ya Pwani akiwa yeye tu lakini wapigakura wamekichagua kivuli chake kwa kura 48 halafu yeye halisi kapata kura 28. Kivuli kimeshinda!

"Na kivuli hicho ni Meya wa Ubungo Chadema ambaye aliongoza fitna ya kumwangusha Sumaye kisa anataka Mtu wake yaani Mbowe apite bila kupingwa Uenyekiti licha ya kuwa ameishi zaidi ya mida wa kikatiba."
Wewe itakuwa umetumiwa na Mabeberu!
 
Kivuli cha Sumaye ni Jacob, kwa hiyo Jacob anampumulia nyuma Sumaye?
 
Chadema sio ccm acha porojo,tafuta hoja yenye maslai kwa taifa hayo ya uvyama huyawezi.
 
Hii ni aibu yetu sote

Yanayoendelea ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), yanasikitisha.

Pamoja na wabunge kadhaa wa Chama hicho kuparurana na kutukanana hadharani kisa suala la Mbowe kugombea tena Uenyekiti, sasa hali ya Mbunge wa Chama hicho Cecil Mwambe aliyetangaza kuchukua fomu dhidi ya Mbowe ni mbaya.

"Amelazimika kuishi kwa tahadhari kubwa. Amepanikisha wakubwa zake," kinasema chanzo cha kuaminika.

Mbunge huyo amelaumiwa hadharani na Peter Msigwa Mbunge wa Iringa Mjini kwa kuchukua fomu. Inaelezwa kuwa sasa pia amepokea vitisho kadhaa dhidi ya maisha yake.

"Ndio maana tunasema hiki chama na kwa ujumla upinzani mzima hapa nchini haujajiandaa kuishi katika zama za demokrasia. Amin nawaambieni ni heri CCM inayojibadilisha kila siku kuliko wapinzani wanaodhalilika kila siku kwa kutokiwa tayari kwa mabadiliko," anasema Mchungaji Munga Keason wa Kanisa la Peace and Gospel Fellowship.

Wakati Mwambe akiwa anaishi uhamishoni, mwenzake anayedaiwa pia kwamba atachukua fomu ya Uenyekiti, Mzee Sumaye, amekipata kinachomstahili.

Ameshindwa na kivuli chake. Yani kagombea uenyekiti Kanda ya Pwani akiwa yeye tu lakini wapigakura wamekichagua kivuli chake kwa kura 48 halafu yeye halisi kapata kura 28. Kivuli kimeshinda!

"Na kivuli hicho ni Meya wa Ubungo Chadema ambaye aliongoza fitna ya kumwangusha Sumaye kisa anataka Mtu wake yaani Mbowe apite bila kupingwa Uenyekiti licha ya kuwa ameishi zaidi ya mida wa kikatiba."
Labda katishiwa na ccm wenzake
IMG_20191128_200219.jpeg
 
Halafu utaona makamanda uchwara wanaanza kujitutumua na kizungu chao cha ugoko, duh. Yaani alimradi tu waonekane eti ndio wana akili. Kazi ipo mwaka huu.
Think twice my friend the wise men are on other side, but the power mongers think how to kill other.
 
Nhoja uione minyumbu ya ufipa inavyopovuka humu
 
Hata ya sumaye?

Nadhani watu hawamwelewi vizuri Mh Sumaye waziri mkuu mstaafu.

Mh Sumaye ni kiongozi pekee Tanzania ambaye baaadaya kuhudumu muda wa miaka kumi kama waziri mkuu hajawa na kasha ya ufisadi licha ya kukihama chama tawala.

Mh Sumaye ndio kiongozi pekee ambao baada ya kumaliza muda wake ameenda kusoma katika chuo kinachoeleka duniani na Akahitimu.

Mh Sumaye amejiunga kwenye upinzani ambao mimi napenda Kuuita vyama vyenye mawazo mbadala. Kwani wote tunajenga nchi moja Tanzania na hatuwezi kuwa na mawazo yananyofanana licha ya kuwa na lengo moja. 4+5=9 na 3x3=9. Kwa hiari yake na sio kama wale walioletwa na mafuriko.

Kiongozi yeyote ana maono na kujaribu na kushindwa mara moja sio kukata tamaa. Mh Sumaye ni hazina kwa wana mawazo mbadala lakini kwa kkipindi hiki kinaweza kisiwe muaafaka sana. Lakini haishushi umuhimu wake kwani yeye ni mzoefu na sio fisadi

Mh Sumaye na dhani alipo jiunga na vyama vyenye mawazo mbadala alijua anakuja kuchagiza mabadiliko na ili kuchangia kuleta mabaliko sio lazima uwe kiongozi. Unaweza kuwa mshauri na ukatufikisha tunapotaka kwenda.

Itaendelea...
 
Hii ni aibu yetu sote

Yanayoendelea ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), yanasikitisha.

Pamoja na wabunge kadhaa wa Chama hicho kuparurana na kutukanana hadharani kisa suala la Mbowe kugombea tena Uenyekiti, sasa hali ya Mbunge wa Chama hicho Cecil Mwambe aliyetangaza kuchukua fomu dhidi ya Mbowe ni mbaya.

"Amelazimika kuishi kwa tahadhari kubwa. Amepanikisha wakubwa zake," kinasema chanzo cha kuaminika.

Mbunge huyo amelaumiwa hadharani na Peter Msigwa Mbunge wa Iringa Mjini kwa kuchukua fomu. Inaelezwa kuwa sasa pia amepokea vitisho kadhaa dhidi ya maisha yake.

"Ndio maana tunasema hiki chama na kwa ujumla upinzani mzima hapa nchini haujajiandaa kuishi katika zama za demokrasia. Amin nawaambieni ni heri CCM inayojibadilisha kila siku kuliko wapinzani wanaodhalilika kila siku kwa kutokiwa tayari kwa mabadiliko," anasema Mchungaji Munga Keason wa Kanisa la Peace and Gospel Fellowship.

Wakati Mwambe akiwa anaishi uhamishoni, mwenzake anayedaiwa pia kwamba atachukua fomu ya Uenyekiti, Mzee Sumaye, amekipata kinachomstahili.

Ameshindwa na kivuli chake. Yani kagombea uenyekiti Kanda ya Pwani akiwa yeye tu lakini wapigakura wamekichagua kivuli chake kwa kura 48 halafu yeye halisi kapata kura 28. Kivuli kimeshinda!

"Na kivuli hicho ni Meya wa Ubungo Chadema ambaye aliongoza fitna ya kumwangusha Sumaye kisa anataka Mtu wake yaani Mbowe apite bila kupingwa Uenyekiti licha ya kuwa ameishi zaidi ya mida wa kikatiba."
Hakuna jipya hata Musiba aliwatisha akina member wasigombee 200
 
Mbona Suala la Mbowe Ni topic ya viongozi was CCM? Hivi inakaaje kocha was simba apange kikosi Cha yanga ili wakipige uwanja was taifa? CCM hawamtaki mbowe, CDM wanasema anatufaa so what, Kila mtu ashinde mechi zake.

Back
Top Bottom