Mbunge CHADEMA: BAVICHA waache mihemko ya kisiasa, wabuni mambo ya kuwakwamua kwenye umasikini

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2016
Posts
17,506
Reaction score
16,003
Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA Conchester Lwamlaza awataka vijana ambao ni wafuasi wa CHADEMA kuacha mihemuko ya kisiasa kwa sasa badala yake wabuni mambo yatakayowapa nafasi ya kuchangamkia fursa zinazotolewa zenye lengo la kuwakwamua kwenye wimbi la umaskini wa kipato.

Chanzo: Radio One

----
Ndugu zangu,

Watu makini ndani ya Chadema sasa wanaona na wanashauri vijana mfano wa Chadema wajikite kwenye shughuli za kuwaletea vipato badala ya mihemko.
 
Hawasikiihao kazi yao ni porojo tu halafu baadae wanaanza kupiga mizinga BAVICHA NI DONDA NDUGU
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Katiba Mpya Ndio suluhisho la Kuwakwamua Watanzaniatoka Huo Umasikini Uliosababishwa na CCM. Maana hii Katiba tuliyonayo Siyo Fair. Hii Katiba ni Sawa na Kusema Tanzania na Watanzania ni Mali ya CCM. However, CHADEMA Haina Mbuge wa Viti Maalum, labda unazungumzia wale COVID-19 ambao Hawatokani na Chama Cha Siasa.
 
Hoja hii ni mzito majuzi hapa Pambalu alikiri kuwa wafuasi wa Chadema "wamechoka" akawapa mchongo waa kuwa mawakala kuuza kadi
hawasikiihao kazi yao ni porojo tu halafu baadae wanaanza kupiga mizinga BAVICHA NI DONDA NDUGU
 
Hakuna mbunge vitu maalum chadema, acha uongo
Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA Conchester Lwamlaza awataka vijana ambao ni wafuasi wa CHADEMA kuacha mihemuko ya kisiasa kwa sasa badala yake wabuni mambo yatakayowapa nafasi ya kuchangamkia fursa zinazotolewa zenye lengo la kuwakwamua kwenye wimbi la umaskini wa kipato.

Chanzo: Radio One

----
Ndugu zangu,

Watu makini ndani ya Chadema sasa wanaona na wanashauri vijana mfano wa Chadema wajikite kwenye shughuli za kuwaletea vipato badala ya mihemko.
 
Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA Conchester Lwamlaza awataka vijana ambao ni wafuasi wa CHADEMA kuacha mihemuko ya kisiasa kwa sasa badala yake wabuni mambo yatakayowapa nafasi ya kuchangamkia fursa zinazotolewa zenye lengo la kuwakwamua kwenye wimbi la umaskini wa kipato.

Chanzo: Radio One

----
Ndugu zangu,

Watu makini ndani ya Chadema sasa wanaona na wanashauri vijana mfano wa Chadema wajikite kwenye shughuli za kuwaletea vipato badala ya mihemko.
Kwani hawa wabunge wapo? Nilisikia wamevuliwa uanachama.
 
Kwenu mnavishwa pete nawanake wenzenu, si ndio nyie, au nimechanganya ukoo?!😂
 
Kwani hawa wabunge wapo? Nilisikia wamevuliwa uanachama.
Wapo kwa kazi maalum, kuidhoofisha CHADEMA, unafikiri cha CCM kinaliwa bure.?! CCM = KULA ULIWE.
Watashindwa tu kama alivyoshindwa Dokta Mihogo na kina Nyarandu Mwambe na makahaba wa kisiasa wengine.
 
Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA Conchester Lwamlaza awataka vijana ambao ni wafuasi wa CHADEMA kuacha mihemuko ya kisiasa kwa sasa badala yake wabuni mambo yatakayowapa nafasi ya kuchangamkia fursa zinazotolewa zenye lengo la kuwakwamua kwenye wimbi la umaskini wa kipato.

Chanzo: Radio One

----
Ndugu zangu,

Watu makini ndani ya Chadema sasa wanaona na wanashauri vijana mfano wa Chadema wajikite kwenye shughuli za kuwaletea vipato badala ya mihemko.
CHADEMA haina mbunge wa viti maalum hata mmoja. Labda mbunge wako mnaedanga naye. Umemchonga kinyago sasa unamsemesha maana hana uhalali wo wote.
 
Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA Conchester Lwamlaza awataka vijana ambao ni wafuasi wa CHADEMA kuacha mihemuko ya kisiasa kwa sasa badala yake wabuni mambo yatakayowapa nafasi ya kuchangamkia fursa zinazotolewa zenye lengo la kuwakwamua kwenye wimbi la umaskini wa kipato.

Chanzo: Radio One

----
Ndugu zangu,

Watu makini ndani ya Chadema sasa wanaona na wanashauri vijana mfano wa Chadema wajikite kwenye shughuli za kuwaletea vipato badala ya mihemko.
Kongole mh.Conchester Lwamlaza👊👍👍

BAVICHA wao kutwa na kutaka maandamano tu.....

Hawa BAVICHA kazi zao ni matamko makali na maandamano.....hawa jamaa wanapenda SHARI NA KUTAKA VURUGU TU.....
 
Wapo kwa kazi maalum, kuidhoofisha CHADEMA, unafikiri cha CCM kinaliwa bure.?! CCM = KULA ULIWE.
Watashindwa tu kama alivyoshindwa Dokta Mihogo na kina Nyarandu Mwambe na makahaba wa kisiasa wengine.
Haramu anashauri vipi halali? yeye anapokea mshahara kiharamu anawezaje kutoa ushauri? Pili umaskini wa kipato si wa bavichaniwote wasio na ajira
 
Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA Conchester Lwamlaza awataka vijana ambao ni wafuasi wa CHADEMA kuacha mihemuko ya kisiasa kwa sasa badala yake wabuni mambo yatakayowapa nafasi ya kuchangamkia fursa zinazotolewa zenye lengo la kuwakwamua kwenye wimbi la umaskini wa kipato.

Chanzo: Radio One

----
Ndugu zangu,

Watu makini ndani ya Chadema sasa wanaona na wanashauri vijana mfano wa Chadema wajikite kwenye shughuli za kuwaletea vipato badala ya mihemko.
CHADEMA haina Wabunge wa viti maalum bungeni
 
Chadema haina mbunge hata mmoja bungeni ndio maana hawapokei ruzuku ,hao wanaojitambulisha kwamba ni wabunge wa chadema hapana wajitambulishe wabunge wa ndugai.
 
Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA Conchester Lwamlaza awataka vijana ambao ni wafuasi wa CHADEMA kuacha mihemuko ya kisiasa kwa sasa badala yake wabuni mambo yatakayowapa nafasi ya kuchangamkia fursa zinazotolewa zenye lengo la kuwakwamua kwenye wimbi la umaskini wa kipato.

Chanzo: Radio One

----
Ndugu zangu,

Watu makini ndani ya Chadema sasa wanaona na wanashauri vijana mfano wa Chadema wajikite kwenye shughuli za kuwaletea vipato badala ya mihemko.
Kwani wanayofanya ni kinyume na katiba??
 
Back
Top Bottom