Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Anasema wachangamkie fursa kama wao walivyozunguka chama na kwenda kuungana na shetani. Hao siyo wabunge wa viti maalum chadema bali ni wabunge wa ndungai bora wanyamaze wale tu kwa mgongo wa ndungai siku akiwachoka ndipo wataona makucha yakeMbunge wa Viti Maalum CHADEMA Conchester Lwamlaza awataka vijana ambao ni wafuasi wa CHADEMA kuacha mihemuko ya kisiasa kwa sasa badala yake wabuni mambo yatakayowapa nafasi ya kuchangamkia fursa zinazotolewa zenye lengo la kuwakwamua kwenye wimbi la umaskini wa kipato.
Chanzo: Radio One
----
Ndugu zangu,
Watu makini ndani ya Chadema sasa wanaona na wanashauri vijana mfano wa Chadema wajikite kwenye shughuli za kuwaletea vipato badala ya mihemko.