Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Kwani wawapi tena?umekosea au Mimi ndio sipo hewani?Ndugu zangu,
Watu makini ndani ya Chadema sasa wanaona na wanashauri vijana mfano wa Chadema wajikite kwenye shughuli za kuwaletea vipato badala ya mihemko.View attachment 1859687
Kwani wawapi tena?umekosea au Mimi ndio sipo hewani?
Mnazidi kujicheleesha tu hivi hiyo katiba itakuja na ajira za kuwapa? fanyeni kaziKatiba Mpya Ndio suluhisho la Kuwakwamua Watanzania, Maana hii tuliyonayo Siyo Fair. Hii Katiba ni Sawa na Kusema Tanzania na Watanzania ni Mali ya CCM.
hawasikiihao kazi yao ni porojo tu halafu baadae wanaanza kupiga mizinga BAVICHA NI DONDA NDUGU
Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA Conchester Lwamlaza awataka vijana ambao ni wafuasi wa CHADEMA kuacha mihemuko ya kisiasa kwa sasa badala yake wabuni mambo yatakayowapa nafasi ya kuchangamkia fursa zinazotolewa zenye lengo la kuwakwamua kwenye wimbi la umaskini wa kipato.
Chanzo: Radio One
----
Ndugu zangu,
Watu makini ndani ya Chadema sasa wanaona na wanashauri vijana mfano wa Chadema wajikite kwenye shughuli za kuwaletea vipato badala ya mihemko.
Kwani hawa wabunge wapo? Nilisikia wamevuliwa uanachama.Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA Conchester Lwamlaza awataka vijana ambao ni wafuasi wa CHADEMA kuacha mihemuko ya kisiasa kwa sasa badala yake wabuni mambo yatakayowapa nafasi ya kuchangamkia fursa zinazotolewa zenye lengo la kuwakwamua kwenye wimbi la umaskini wa kipato.
Chanzo: Radio One
----
Ndugu zangu,
Watu makini ndani ya Chadema sasa wanaona na wanashauri vijana mfano wa Chadema wajikite kwenye shughuli za kuwaletea vipato badala ya mihemko.
Kwenu mnavishwa pete nawanake wenzenu, si ndio nyie, au nimechanganya ukoo?!😂Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA Conchester Lwamlaza awataka vijana ambao ni wafuasi wa CHADEMA kuacha mihemuko ya kisiasa kwa sasa badala yake wabuni mambo yatakayowapa nafasi ya kuchangamkia fursa zinazotolewa zenye lengo la kuwakwamua kwenye wimbi la umaskini wa kipato.
Chanzo: Radio One
----
Ndugu zangu,
Watu makini ndani ya Chadema sasa wanaona na wanashauri vijana mfano wa Chadema wajikite kwenye shughuli za kuwaletea vipato badala ya mihemko.
Wapo kwa kazi maalum, kuidhoofisha CHADEMA, unafikiri cha CCM kinaliwa bure.?! CCM = KULA ULIWE.Kwani hawa wabunge wapo? Nilisikia wamevuliwa uanachama.
CHADEMA haina mbunge wa viti maalum hata mmoja. Labda mbunge wako mnaedanga naye. Umemchonga kinyago sasa unamsemesha maana hana uhalali wo wote.Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA Conchester Lwamlaza awataka vijana ambao ni wafuasi wa CHADEMA kuacha mihemuko ya kisiasa kwa sasa badala yake wabuni mambo yatakayowapa nafasi ya kuchangamkia fursa zinazotolewa zenye lengo la kuwakwamua kwenye wimbi la umaskini wa kipato.
Chanzo: Radio One
----
Ndugu zangu,
Watu makini ndani ya Chadema sasa wanaona na wanashauri vijana mfano wa Chadema wajikite kwenye shughuli za kuwaletea vipato badala ya mihemko.
Kongole mh.Conchester Lwamlaza👊👍👍Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA Conchester Lwamlaza awataka vijana ambao ni wafuasi wa CHADEMA kuacha mihemuko ya kisiasa kwa sasa badala yake wabuni mambo yatakayowapa nafasi ya kuchangamkia fursa zinazotolewa zenye lengo la kuwakwamua kwenye wimbi la umaskini wa kipato.
Chanzo: Radio One
----
Ndugu zangu,
Watu makini ndani ya Chadema sasa wanaona na wanashauri vijana mfano wa Chadema wajikite kwenye shughuli za kuwaletea vipato badala ya mihemko.
Haramu anashauri vipi halali? yeye anapokea mshahara kiharamu anawezaje kutoa ushauri? Pili umaskini wa kipato si wa bavichaniwote wasio na ajiraWapo kwa kazi maalum, kuidhoofisha CHADEMA, unafikiri cha CCM kinaliwa bure.?! CCM = KULA ULIWE.
Watashindwa tu kama alivyoshindwa Dokta Mihogo na kina Nyarandu Mwambe na makahaba wa kisiasa wengine.
CHADEMA haina Wabunge wa viti maalum bungeniMbunge wa Viti Maalum CHADEMA Conchester Lwamlaza awataka vijana ambao ni wafuasi wa CHADEMA kuacha mihemuko ya kisiasa kwa sasa badala yake wabuni mambo yatakayowapa nafasi ya kuchangamkia fursa zinazotolewa zenye lengo la kuwakwamua kwenye wimbi la umaskini wa kipato.
Chanzo: Radio One
----
Ndugu zangu,
Watu makini ndani ya Chadema sasa wanaona na wanashauri vijana mfano wa Chadema wajikite kwenye shughuli za kuwaletea vipato badala ya mihemko.
Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA Conchester Lwamlaza awataka vijana ambao ni wafuasi wa CHADEMA kuacha mihemuko ya kisiasa kwa sasa badala yake wabuni mambo yatakayowapa nafasi ya kuchangamkia fursa zinazotolewa zenye lengo la kuwakwamua kwenye wimbi la umaskini wa kipato.
Chanzo: Radio One
----
Ndugu zangu,
Watu makini ndani ya Chadema sasa wanaona na wanashauri vijana mfano wa Chadema wajikite kwenye shughuli za kuwaletea vipato badala ya mihemko.
......Duuh Shetani anashauri watu waokoke!
Kwani wanayofanya ni kinyume na katiba??Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA Conchester Lwamlaza awataka vijana ambao ni wafuasi wa CHADEMA kuacha mihemuko ya kisiasa kwa sasa badala yake wabuni mambo yatakayowapa nafasi ya kuchangamkia fursa zinazotolewa zenye lengo la kuwakwamua kwenye wimbi la umaskini wa kipato.
Chanzo: Radio One
----
Ndugu zangu,
Watu makini ndani ya Chadema sasa wanaona na wanashauri vijana mfano wa Chadema wajikite kwenye shughuli za kuwaletea vipato badala ya mihemko.