Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mbunge wa Mbagala, Abdallah Chaurembo, ametangaza nia ya kugombea ubunge katika Jimbo jipya la Chamazi kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Chaurembo ametoa kauli hiyo leo Juni 19, 2025, wakati akichangia mjadala wa Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2024 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka wa fedha 2025/2026, unaoendelea Bungeni jijini Dodoma.
Amesema tayari ameshafanya maamuzi hayo kwa kuzingatia mabadiliko ya kijiografia na kiu ya wananchi wa Chamazi, akisisitiza kuwa atakuwa tayari kuwatumikia kwa nguvu zote iwapo atapewa ridhaa.
Soma, Pia
Amesema tayari ameshafanya maamuzi hayo kwa kuzingatia mabadiliko ya kijiografia na kiu ya wananchi wa Chamazi, akisisitiza kuwa atakuwa tayari kuwatumikia kwa nguvu zote iwapo atapewa ridhaa.