Mbunge Cherehani: Vijana Msikate Tamaa Mnapoanza Mapambano ya Kufikia Ndoto Zenu

Mbunge Cherehani: Vijana Msikate Tamaa Mnapoanza Mapambano ya Kufikia Ndoto Zenu

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301
“Ukiona kazi haina upinzani achana nayo, kazi yoyote ambayo ina maslahi kwa watu lazima iwe na upinzani,” - Mbunge Cherehani

Mbunge wa Ushetu mkoani Shinyanga Mhe. Emmanuel Cherehani amewasihi vijana kutokata tamaa pindi wanapoanza mapambano ya kuzifikia ndoto zao

Mhe. Cherekani amesemaa hayo jana wakati alipokuwa mgeni rasmi katika kikao cha baraza la umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi-UVCCM wilaya ya Kahama

“Hapa kuna madaktari,kuna Wataalamu lakini mnakatishwa tamaa, na wengi mnaamua kurudi nyuma kinyonge … yupo mmoja mwenye maamuzi ambaye halali kila siku naye ni MUNGU….. ndiye anayejua ndoto za kila mtu aliyeko Duniani msiogope vijana wangu,”-Mhe Cherehani

“Ukiona kazi haina upinzani achana nayo,kazi yoyote ambayo ina maslahi kwa watu lazima iwe na upinzani,”ameongeza kusema Mhe Cherehani
GBD_bECWIAA5U_D.jpg
GBD_bD8XwAA1CXu.jpg
GBD_bD-WoAAXtiA.jpg
GBD_bEEXYAA6XDV.jpg
 
Back
Top Bottom