Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,833
- 1,301
Mbunge Emmanuel Cherehani ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Kahama-Shinyanga amesherehekea Siku Kuu ya Mei Mosi na Wana-Ushetu huku akiwasihi wananchi waweke akiba ya Chakula kutokana na hali ya hewa kutokuwa rafiki.