Mbunge Cherehani: Wekeni Akiba ya chakula

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301
Mbunge Emmanuel Cherehani ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Kahama-Shinyanga amesherehekea Siku Kuu ya Mei Mosi na Wana-Ushetu huku akiwasihi wananchi waweke akiba ya Chakula kutokana na hali ya hewa kutokuwa rafiki.

 
Huyo mwanànchi hata hajui kaya inatakiwa itunze mazao kiasi gani loh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…