Mbunge Condester Michael atimuliwa Bungeni kwa kuvaa ovyo. Spika awaagiza askari wa bunge kuwazuia getini wavaa ovyo

Mbunge Condester Michael atimuliwa Bungeni kwa kuvaa ovyo. Spika awaagiza askari wa bunge kuwazuia getini wavaa ovyo

Hivi huyu dada ametolewa nje na mbunge aliyeomba mwongozo kwa spika,au ametolewa nje na mwongozo wa spika?
Na kama kuna sheria ya mavazi bungeni,huyu dada aliisoma au hawajapewa miongozo kuhusu mavazi?
Spika Ndugai ni wazi alighafilika.
 
Vp viti maalum nini huyo
Yafuatayo ni maeneo ya Heshima na hivyo yanataratibu zake;
1. IKULU

2. BUNGENI

3. JESHINI...
Are you serious? Bunge? Unajua kwa nini bunge liko Dodoma? Ili liwe karibu na hospitali ya Mirembe, maana wana akili ya vifaranga vya kuku Look what they do. They do nothing apart from kugonga furniture. They have serious mental issues. Mbunge anaenda bunge kuangalia mavazi ya akina mama tu! Nyang’wale oyeeeeeeeeee!!
 
Ana genyemshindoo kashindwa kuhimili MZEE wa watu
 
Afadhali ya huyo kuliko wale wanaojifunika gubigubi wasionekane sura halafu ni makahaba kama makahaba wengine tu.
Usikuwanataka laki dk tanoooo Cha fasta
Kama unapigwa chanjo ya covid 19
 
Mbunge wa Momba Condester Michael Sichalwe ametolewa ndani ya ukumbi wa Bunge ili akabadilishe mavazi yake baada ya Mbunge wa Nyangw'ale Hussein Nassor Amar kuomba muongozo wa Spika kuwa kuna baadhi ya Wabunge wamevaa mavazi yasiyo na maadili.

Spika baada ya kumuamrisha kuondoka Bungeni pia aliwaambia askari wa Bunge, kuanzia sasa mbunge yeyote atakaevaa mavazi yasiyo na Staha na kinyume na kanuni waishie getini. Sakata hilo lilianza kwa mbunge mwenzake kuomba muongozo wa spika akimtolea mfano kama mbunge aliyevaa mavazi yasiyo na staha.



Ameolewa?
Nina mdogo wangu yupo benki mwaka wa tatu huu na hajaoa, nimpatie huyu.
Hivi Halima Mdee ameolewa?
 
NIWAPE DILI WAB WA KIKE

KUNA MIBABU INA VIUNGO VIREFU MLE NDANI
AKIVAA SURUALI ANAONEKANA KAMA ANAPIGILIA MSUMARI MBELE

MKIMPATA MMOJA ANZENI NAE MWAMBIENI Spika na SISI tuna nafsi
mb Fulani NAHISI akabadilishe SURUALI sio kwa Rungulile

#haramuhuliwanaharamu watajaatuu
 
Wekeni picha ya huyo mdada Condester tuamue kama nguo aliyovaa inastahiki au haikustahiki kuivaa kwenye chombo cha kutunga sheria na mikakati ya nchi.

Je ni kweli mavazi aliyovaa na kusababisha kutolewa bungeni yalikuwa mavazi hatarishi? Picha tafadhali. Halafu tupige kura kwa maamuzi ya Taifa.
 
Wakati Kenya wanajenga Bandari kubwa Lamu ya pili kwa ukubwa barani Afrika, sisi bunge letu tunakaguana mavazi!!! Jizee linatoka kwake huko linafika bungeni kukagua nani kavaa nini na aje halijui wajibu wake ktk mhimili huo. Yote kwa yote tumlaumu mwendazake kwa upuuzi huuu.
 
Back
Top Bottom