Mbunge David Mathayo agawa magari ya wagonjwa kwa kila kata jimboni kwake

Mbunge David Mathayo agawa magari ya wagonjwa kwa kila kata jimboni kwake

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mbunge wa Same Magharibi Mh David Mathayo amekabidhi magari ya wagonjwa kwa kila kata katika jimbo lake.

Mathayo amesema magari hayo imara sana ameyanunua yeye mwenyewe ili kuwasaidia wapiga kura wake na hasa akina mama ukizingatia Same ni eneo lenye milima.

Chanzo: Upendo TV

Maendeleo hayana vyama!
 
Anaacha kujenga viwanda watu wapate ajira ili wajitibu wenyewe, anatoa magari ya wagonjwa kana kwamba wakazi wote wa huko kwake ni wagonjwa!
Haki nimecheka sana mkuu dooh, kweli wewe ni mtu makini aisee kwa mawazo kama haya basi hili taifa bado lina safari ndefu sana dooh.

Haya mkuu ndo mawazo mbadala hayo hongera sana naamini yatafanyiwa kazi.
 
Kumbe binadamu ni kazi kuwaridhisha,kuwapa watu magari ili ikitokea mtu kazidiwa awahishwe kwenye matibabu kumbe ni zambi?
Shangaa na wewe mkuu, mana mimi nimejikuta nacheka mwenyewe tu hapa.
 
Anaacha kujenga viwanda watu wapate ajira ili wajitibu wenyewe, anatoa magari ya wagonjwa kana kwamba wakazi wote wa huko kwake ni wagonjwa!
Hii ndio akili sasa...
Hongera mkuu.
 
..someni hapa kwanza halafu muendelee kujadili.

..someni hapa kwanza halafu muendelee kujadili.

Takukuru hawajatoa majibu ya hili sakata, magari yakagawiwa tena!

Nakumbuka katika mchakato wa kura za maoni, TAKUKURU walisema ishu za Rushwa wamewaachia CCM wamalizane na watu wao, haya ndio matokeo yake!
 
Back
Top Bottom