Mbunge David Mathayo agawa magari ya wagonjwa kwa kila kata jimboni kwake

Mbunge David Mathayo agawa magari ya wagonjwa kwa kila kata jimboni kwake

Kama amefanya ivyo kweli ana stahili pongezi, ktk jimbo lake kule.usafiri ni shida sanaa kuna seehemu ina itwa chome ni juu milimani huko, huko bac la kwenda same mjin ni moja tu ukikikosa ilo bac hata safar yako hairisha

Sasa imagime kwa wagonjwa wa gafla
 
Zitumie basi kufikiria ili uone kwamba hata sisi huku vijijini tunastahili kupata huduma ya kuwahishwa hospitali tukizidiwa badala ya kwenda kwa bodaboda. Tatizo lenu watu wa mjini huwa hamtufikirii sisi walala puu wa huku vijijini: sisi tunapata magari ya kutuhudumia, wewe unaona hiyo hduma haitustahili!

Kwahiyo nyinyi huko vijijini wote ni wagonjwa? Kwanini asiweke miradi kama viwanda ili mjiajiri kisha muweze kumudu gharama ya matibabu, ama bado wote ni wagonjwa mpaka mpone ndio awajengee viwanda?
 
Kwaiyo na kule milimani TAE nayo imepata gari la wagonjwa wakati hata dispensary hakuna
 
Kama amefanya ivyo kweli ana stahili pongezi, ktk jimbo lake kule.usafiri ni shida sanaa kuna seehemu ina itwa chome ni juu milimani huko, huko bac la kwenda same mjin ni moja tu ukikikosa ilo bac hata safar yako hairisha

Sasa imagime kwa wagonjwa wa gafla
Si kuna boda zile sunlg na kinglion mwendo wa bakora tu
 
Ndio hivi natoa dozi unasema niwapongeze, kama sio lazima kwanini unataka nipongeze? Au unajichanganya?
Siyo kila mtu anaweza kuona positive issues hata kama hakubaliani na wanaofanya hayo
 
Kata za Jimbo la Same Magharibi ni hizi hapa:
1.Bangalala
2.Chome.
3.Gavao Saweni
4.Hedaru
5.Kisiwani
6.Kisima
7.Makanya
8.Mabilioni
9.Mshewa
10.Mhezi
11.Msindo
12.Mwembe
13.Same Mjini
14.Ruvu
15.Njoro
16.Suji
17.Stesheni
18.Tae
19.Vudee
20.Vumari.
 
Kata za Jimbo la Same Magharibi ni hizi hapa:
1.Bangalala
2.Chome.
3.Gavao Saweni
4.Hedaru
5.Kisiwani
6.Kisima
7.Makanya
8.Mabilioni
9.Mshewa
10.Mhezi
11.Msindo
12.Mwembe
13.Same Mjini
14.Ruvu
15.Njoro
16.Suji
17.Stesheni
18.Tae
19.Vudee
20.Vumari.
Bila ubishi hizi ni zaidi ya 10.
 
Hizi ambulance huku mjini zimetolewa na wabunge?
Zikitolewa na wabunge basi watumiaji ni wagonjwa sana, zikinunuliwa kwa kodi zetu watumiaji siyo wagonjwa sana!
Naona lisu alikufunga kamba tu!
 
Tupieni na kapicha tuyaone hayo magari. Isijekuwa amewapa ambulance za pikipiki km kipind cha kikwete. Hahaha kipind cha kikwete kulkua kunausanii mwingi sana
 
Back
Top Bottom