luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Zitumie basi kufikiria ili uone kwamba hata sisi huku vijijini tunastahili kupata huduma ya kuwahishwa hospitali tukizidiwa badala ya kwenda kwa bodaboda. Tatizo lenu watu wa mjini huwa hamtufikirii sisi walala puu wa huku vijijini: sisi tunapata magari ya kutuhudumia, wewe unaona hiyo hduma haitustahili!
Si kuna boda zile sunlg na kinglion mwendo wa bakora tuKama amefanya ivyo kweli ana stahili pongezi, ktk jimbo lake kule.usafiri ni shida sanaa kuna seehemu ina itwa chome ni juu milimani huko, huko bac la kwenda same mjin ni moja tu ukikikosa ilo bac hata safar yako hairisha
Sasa imagime kwa wagonjwa wa gafla
Kamanda argument yako ni ya kitoto sana. Ina maana nyie huko mjini mlionazo hizo ambulance basi wote ni wagonjwa?Kwahiyo nyinyi huko vijijini wote ni wagonjwa? ama bado wote ni wagonjwa mpaka mpone ndio awajengee viwanda?
Assume una mgonjwa maututi je atapanda bodaSi kuna boda zile sunlg na kinglion mwendo wa bakora tu
Siyo lazimaSijawahi kupongeza jizi lolote la kura, na sintokaa.
Ndio 10 bwashee!Mkuu kata zaidi ya kumi ndio ngapi?
Be specific, kama hujui sema sijui.Kata zaidi ya kumi!
Usichoelewa nini?Be specific, kama hujui sema sijui.
Kamanda argument yako ni ya kitoto sana. Ina maana nyie huko mjini mlionazo hizo ambulance basi wote ni wagonjwa?
Siyo lazima
Mkuu, namba ni 1, 50, 70 nk hamna 70+ au 65- hizo ni kwa wasio na uhakika. Kwa hiyo kama unajua taja namba na kama huna uhakika pia sema sina uhakika.Usichoelewa nini?
Siyo kila mtu anaweza kuona positive issues hata kama hakubaliani na wanaofanya hayoNdio hivi natoa dozi unasema niwapongeze, kama sio lazima kwanini unataka nipongeze? Au unajichanganya?
Hahahahaha UFIPA utawajua tukwaiyo anawaombea waumwe au?
Bila ubishi hizi ni zaidi ya 10.Kata za Jimbo la Same Magharibi ni hizi hapa:
1.Bangalala
2.Chome.
3.Gavao Saweni
4.Hedaru
5.Kisiwani
6.Kisima
7.Makanya
8.Mabilioni
9.Mshewa
10.Mhezi
11.Msindo
12.Mwembe
13.Same Mjini
14.Ruvu
15.Njoro
16.Suji
17.Stesheni
18.Tae
19.Vudee
20.Vumari.
Zikitolewa na wabunge basi watumiaji ni wagonjwa sana, zikinunuliwa kwa kodi zetu watumiaji siyo wagonjwa sana!Hizi ambulance huku mjini zimetolewa na wabunge?