PreGE2025 Mbunge Deo Mwanyika: Nitagombea kwasababu Wananjombe bado wananitaka na nina uhakika, nitawatumikia mpaka wao watakaposema tumekuchoka

PreGE2025 Mbunge Deo Mwanyika: Nitagombea kwasababu Wananjombe bado wananitaka na nina uhakika, nitawatumikia mpaka wao watakaposema tumekuchoka

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
"Mimi niliwaahidi Wananjombe kuwa nitawatumikia mpaka wao watakaposema tumekuchoka, Sasa Wananjombe wenyewe wanasema tunakuhitaji kwahiyo nitagombea (tena) kwa ajili ya Wananjombe kwanza, Mimi sigombei kwa ajili yangu, kwanza kwa ajili yao; na Mimi nitagombea kwasababu Wananjombe bado wananitaka na ninauhakika wataendelea kunitaka kwa muda mrefu." - Deo Mwanyika, Mbunge wa Jimbo la Njombe Mjini akizungumza na Kings FM Radio.

Pia Soma Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

 
Back
Top Bottom