"Mimi niliwaahidi Wananjombe kuwa nitawatumikia mpaka wao watakaposema tumekuchoka, Sasa Wananjombe wenyewe wanasema tunakuhitaji kwahiyo nitagombea (tena) kwa ajili ya Wananjombe kwanza, Mimi sigombei kwa ajili yangu, kwanza kwa ajili yao; na Mimi nitagombea kwasababu Wananjombe bado wananitaka na ninauhakika wataendelea kunitaka kwa muda mrefu." - Deo Mwanyika, Mbunge wa Jimbo la Njombe Mjini akizungumza na Kings FM Radio.