Jamaa kazi yao kubwa ni kuteuana kula pesa za ummaTatizo ni kwamba, watu wenye uwezo na mikakati wako nje ya mfumo, unategemea nini sasa...ni mwendo wa kudorora tu kwa miradi mikakati, washaridhika na maV8,mishahara mikubwa,posho za kila siku.
MTU wa dizain iyo kamwe hawezi kuwa na uwezo wa kufikiria sana tija.
Mikakati mingi sana ipo nkwenye makabrasha na maandiko tena mazuri sana, tatizo linakuja ni pale tu kuanza utekelezaji ndo changamoto.
Deo mwenyewe kashindwa kusaidia wananchi wake kwenye usafiri wa mjini Njombe.Mbunge Deodatus Mwanyika (Njombe) amesema inaonekana hakuna Mkakati wowote katika Mradi huo wa Makaa Ya Mawe unaotajwa kuwa wa kimkakati, kwani hakuna taarifa zozote zinazotolewa kuhusu mazungumzo yalipofikia
Ameeleza, "Sisi Watanzania ni watu wa ajabu. Tuna Makaa ya Mawe ambayo bei yake ni nzuri lakini bado tunafanya mchezo na mradi huu. Ni mchezo kwasababu hatuelewi umefikia wapi"
Ameongeza kuwa, inaonekana kama Shirika la Taifa la Maendeleo ambalo linabeba jukumu la kuendeleza Mradi halina uwezo, au watu wanaohusika katika Majadiliano hawajafika mahali ambapo wanaweza kusema tatizo ni nini
Huyu si ndio JPM alimtangaza katuletea hasara ya Trillion 400!! Inakuaje ndio awe tena mbunge wa kushauri serikali kwenye mambo ya madini?? Hivi CCM inatuona waTanzania ni wajinga sana? Mtu akiyepaswa kuwa Jela Leo hii ndio anashauri serikali kwenye madini? Then kuna watu walisema JPM alimaliza mafisadi!! SMH!Mbunge Deodatus Mwanyika (Njombe) amesema inaonekana hakuna Mkakati wowote katika Mradi huo wa Makaa Ya Mawe unaotajwa kuwa wa kimkakati, kwani hakuna taarifa zozote zinazotolewa kuhusu mazungumzo yalipofikia