Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 62,101
- 38,487
EATV
Mbunge wa Viti Maalumu kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Tea Ntala ameibua hoja bungeni akitaka Serikali ichukue hatua kali dhidi ya baadhi ya madhehebu ya kidini anayodai yanatoa mafundisho potofu, hasa kwa watoto.
Dk Tea ametoa hoja hiyo leo bungeni jijini Dodoma wakati wa mjadala wa bajeti ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu kwa mwaka wa fedha 2025/26.
"Tunawafundisha nini watoto wetu? Kuna madhehebu yanayofundisha eti 'mimi ni Mungu, ndani yangu kuna Mungu" Amesema mbunge huyo akisitiza kuwa haiwezekani
Amemtaka waziri wa mambo ya ndani kuchukua hatua dhidi ya madhehebu hayo.