Mbunge Elibariki Kingu aingia kwenye kashfa ya ngono na kuzaa nje ya ndoa

Huyu naye mjinga, anajisifia muzaa na mume wa mtu , aio ustaarabu kabisa,
 

Ndoa na Mke wake ipo bado vizuri maana umeandika kuna mwingine tena? Dini yake ni muislam?
 
Sema "wanaume karibu wote" hawaheshimu ndoa. Aliyetulia basi jua ni mcha Mungu wa dhati kabisa au uchumi mdogo anakula kwa macho. Hujaona babu kastaafu kavuta mafao anamuacha bibi watoto home anavuta kipotabo kibichiii anatumbua nacho pensheni? Wanasiasa kundi dogo sana na sema wanaonekana tu ila wanawakilisha tabia ya wanaume karibu wote bila kujali ni nani.
 
Huyo kingu atapata muda wa kulea Huyo mtoto. ...? Mwisho ni taifa lisilokuwa na malezi yeyote, lisilo wajibika bado sisi waafrika tutasubiri sana. Mnasifia michepuko na kuhalalisha upuuzi. Acha trump atutukane ndiyo tunayoweza
Huyo Trump kwani kahasiwa? Mbona na yeye ana kashfa kibao tu za migegedo. Acheni kujidharau Waafrika.
 
Shithole ni wewe unayefikiri kila akisemacho mzungu kinatoka kwa Mungu au ndio sahihi? Huyo Trump ana tuhuma ngapi za uzinifu? Clinton hakuchepuka ikulu na mtoto mkali Monica au ulikuwa unafikiri mb** na nyege tuliumbiwa waafrika peke yetu? Kama wewe ni me na sio hanithi huwezi shangaa hili.
 
Kademu kenyewe kakali. Hako kukatafuna na kufunga goli kabisa siyo dhambi. Hata Sheikh Kipoozeo angekapenda maana kanaonekana hata "Mambo ipo huko"
Tafadhali uwe na heshima na imani za watu.Sheikh kipoozeo amekujaje hapa?
 
huyu binti ni zombi sijapata ona!
huo ubongo wake una funza ama minyoo nahisi...
 
kwa komenti za humu naona kabisa wote tumemuunga mkono kingu
 
Shut up...you shithole!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…