Mbunge Elibariki Kingu aingia kwenye kashfa ya ngono na kuzaa nje ya ndoa

Mbunge Elibariki Kingu aingia kwenye kashfa ya ngono na kuzaa nje ya ndoa

Mbunge wa jimbo la Singida Magharibi, Elibariki Kingu, amekumbwa na kashfa ya kungonoka na wasichana watatu tofauti na mmoja kuzaa naye, mdada aliyezaa naye anaitwa Nicole Franklin na pia imeelezwa kuwa ndiye aliyemuachanisha Vanessa Mdee(Vee Money) kwa Jux kisha kumnyakuwa kama mwewe na msichana mwingine Anaitwa Irene (queenlynei) ambaye ana duka la nguo na amemuweka karibu na familia yake kiasi kwamba huwa anampelekea mke wa kingu na watoto zawadi mbali mbali huku wakijinasibu kuwa wao ni kaka na dada ila hivi karibuni wakiwa huko uchinani(Irene na Kingu) snap ya Irene ilionesha watu hao wawili wakiwa kwenye mahaba mazito na wakati huo huo Kingu akiongeza speed ya kumsifia mkewe insta ili mama wa watu asistukie kama tunda lake linaliwa.

Kumekuwa na vita ya maneno kiasi cha kupelekea account ya Kingu kuwekwa private coz mashosti wa mzazi mwenza wa Kingu wamekuwa wakitoa maneno ya kumshambulia Kingu kuhusu tabia ya umalaya na kuacha kutoa huduma kwa mtoto huku akijificha kwenye kivuli cha mapenzi mazito kwa mkewe.

56157a0557191a24f9fe692c5687fa52.jpg

d7703cdd8eb0b40d002e06f49e64777b.jpg

9edba1601665820233e165647a7d7e2e.jpg

87a9a61945535b4fd70674e148219343.jpg

79e64d010b53d4dfa4ee53ca81a569e7.jpg

d30989ee2ac31f7fa5cad8e23d0c08a7.jpg
Kwa mila na desturi za Africa hilo ni jambo la kawaida sana. Hizi tamaduni za kukopa haziwezi kutufanya tusahau tulipotoka kwa asilimia 100.
We fyatua tu wala usiogope, as long as unaweza kutoa huduma stahiki kwa uzao wako.
Hizi nyama zipo nyingi sana wakuu, tushirikiane vyema kuzitafuna ili ku"balance" Ekolojia maana mpaka sasa mzani unavuta upande mmoja.
 
Mkuu Ki Mun, kwanza nianze kwa kulaani kitendo kilichofanywa na huyu kicheche kwenye mahojiano hayo, japo ni Mrembo wa sura na umbo, lakini kichwani ni mtupu kabisa!, kitendo cha kuzaa na mume wa mtu, huku mke hajui, halafu anakuja mbele ya kamera na kujiproud ni ujinga uliopitiliza, hivyo kuitwa kuitwa gold digger ni kupendelewa, jina halisi alipaswa kuitwa mala.. mbwa, na mvunja ndoa za watu!. Umala... wake ni kuji proud umetembea na mwanaume zaidi ya mmoja, mtu amevishwa pete ya uchumba, halafu anakuja kumsifia ex wake ambaye ni mume wa mtu, tena huyu ni maharage ya Mbeya kabisa, anasema jamaa hata akimkosea vipi, akimuibukia tuu, hawezi sema lolote!. Atakayeoa huyu dada, amekula hasara!.

Tukija kwenye hili la wanaume kutoka nje ya ndoa na kuwa na nyumba ndogo, sio tuu wanasiasa, bali wanaume wengi wa ki Afrika, kutoka nje ya ndoa ni jambo la kawaida sana kwa sababu, an African man is polygamous by nature, hii ndio asili yetu!, hizi ndoa za mke mmoja ni man made by wazungu tuu, hata Bible, hakuna mahali Mungu amekataza ndoa za wake wengi, hivyo wanaume wote wa kiAfrika ambao hawajawahi kutoka nje, ndio wana ji pretend against human nature ya wanaume wa Africa!. Hili nimelizungumza hapa
Pongezi Rais Wetu Magufuli Kwa Kuwa Mkweli Daima, Tuanzishwa The Church of Africa, Tuoe Wake Wengi!.

Paskali
Umenena vema mwandishi nguli
 
Ubaya huko wapi hapo?
Mbona haya wanaume wengi tunayafanya sema kutokuwa maarufu ndio kunatusaidia siri zetu zisibumbuluke.

Huyo kwingu sema tatizo lake umaarufu ila Mimi sijaona kama tatizo sana kwa anayoyafanya ukizingatia bado "kijana".

Labda kama wewe ni mke wake umeumia.
Sasa Mtoto kama huyo mwenye gauni la bluu unamuachaje kwa mfano?
Si ndo hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko ni wapinzani wake kisiasa mnamchafua,kuwa na mke zaidi ya mmoja,in Africans perspective siyo story
 
Mambo ya kawaida haya, wanaume ndo tumeumbwa hivi. Huu mchepuko wake mwenye mtoto hata mimi naujua. Umepangishiwa apartment Kijitonyama na ndinga juu ukapatiwa. Acheni mbunge aishi maisha yake.
Duuh
 
Back
Top Bottom