Mbunge Elibariki Kingu aingia kwenye kashfa ya ngono na kuzaa nje ya ndoa

Kwa mila na desturi za Africa hilo ni jambo la kawaida sana. Hizi tamaduni za kukopa haziwezi kutufanya tusahau tulipotoka kwa asilimia 100.
We fyatua tu wala usiogope, as long as unaweza kutoa huduma stahiki kwa uzao wako.
Hizi nyama zipo nyingi sana wakuu, tushirikiane vyema kuzitafuna ili ku"balance" Ekolojia maana mpaka sasa mzani unavuta upande mmoja.
 
Umenena vema mwandishi nguli
 
Si ndo hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko ni wapinzani wake kisiasa mnamchafua,kuwa na mke zaidi ya mmoja,in Africans perspective siyo story
 
Mambo ya kawaida haya, wanaume ndo tumeumbwa hivi. Huu mchepuko wake mwenye mtoto hata mimi naujua. Umepangishiwa apartment Kijitonyama na ndinga juu ukapatiwa. Acheni mbunge aishi maisha yake.
Duuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…