Kweli bhana! Gwaji Girl Vs Gwaji Boy!Vita ya Wasukuma na Wanyiramba
Chama Cha Mapinduzi kinachojiita ccm chini ya Samia Suluhu hassan hakina msuli wa kumfukuza Dkt Rashid Gwajima kwenye nafasi ya ubunge au hata kumvua uanachama. Kikijaribu kupima maji kwa ugoko kitajutaKiti cha uenyekiti wa CCM bado kipo....ndicho kilichopitisha GWAJIMA aweze kugombea jimboni Kawe na wakaachwa akina Komredi Furaha Dominick.....
Nazi haiwezi kushindana na jiwe....
Kamwe wanachama hatuwezi kuvumilia kumuona MWANACHAMA MWENZETU akimshambulia kwa maneno mwenyekiti wetu......
Hashtag CCM IMFUKUZE GWAJIMA
Kingu hana hekima na hana busara. Yeye kwa alivyojipambanua walipangwa na wabunge wote walioongea 99% walipangwa na walijiandaa.Huyu alikuwa anaonekana kama mmojawapo wa wabunge wasio na maana sana bungeni. Lakini kwa jana ameonekana kama vile anaanza kutumika kama game changer! Wangeongea aliyanena jana akina Nape na Janauri basi mjadala ungekuwa sio mjadala tena bali mipasho...
Alifukuzwa Membe....CCM haikujuta.....Gwajima ana kaliba gani kumzidi Membe na Lowassa?!!!Chama Cha Mapinduzi kinachojiita ccm chini ya Samia Suluhu hassan hakina msuli wa kumfukuza Dkt Rashid Gwajima kwenye nafasi ya ubunge au hata kumvua uanachama. Kikijaribu kupima maji kwa ugoko kitajuta
Kingu hana hekima na hana busara. Yeye kwa alivyojipambanua walipangwa na wabunge wote walioongea 99% walipangwa na walijiandaa. Na ninakuhakikishia ikitokea mabadiliko sasa hivi ya serikali hao walioongea bungeni hao wabunge watapata tabu sana maana hiyo ni misimamo yao na si ya bunge. Ndiyo maana hata Spika alijichanganya kwa sababu walikuwa wanahukumu kitu ambacho hakipo
Ccm haina ubavu huo.Alifukuzwa Membe....CCM haikujuta.....Gwajima ana kaliba gani kumzidi Membe na Lowassa?!!!
Alikuwa Lowassa na CHADEMA...
Naye ajiandae.....kiti cha uenyekiti hakijaondoka na hayati JPM(Rip).....Ccm haina ubavu huo.
Membe alifukuzwa na propesa Magufuli personally kwa mgongo wa jina la Chama
Samia ni mwenyekiti dhaifu ndio maana wanachama wanampanda hadi kichwani, hilo halina mjadalaNaye ajiandae.....kiti cha uenyekiti hakijaondoka na hayati JPM(Rip).....
Wewe Samiah gang tangu ulambe teuzi kutoka kwa mama samiah umekuwa hutulii, jaribu kutulia walikuwepo wenye mbwembwe zaidi ila hawakufika mbali…Mh.Elibariki Kingu yuko sahihi.....
CCM ina vijana "jeuri"....ukitukana kamwe HATUKUACHI KUKUJIBU.....
HASHTAG GWAJIMA AFUKUZWE CCM
Swala ni kujaribu, kujaribu ni hulka ya kibinadamu. Lowassa na Membe wajibu, na Gwajiboy na yeye ana haki ya kujaribu kama akitaka.Alikuwa Lowassa na CHADEMA...
Alikuwa Membe na ACT......
Nini Gwajima?!!!