Mbunge Elibariki Kingu alipangwa kumnanga Bishop Gwajima au ndiyo kujipendekeza?

Watu wa maeneo ya Singida kwa ujumla ni bendera fuata upepo wanapenda kujipendekeza sana
 
Kuna nafasi ya waziri wa ulinzi natumai anaiweza.
 
hivi Lusinde ni msukuma?
 
Swala ni kujaribu, kujaribu ni hulka ya kibinadamu. Lowassa na Membe wajibu, na Gwajiboy na yeye ana haki ya kujaribu kama akitaka.
Kujaribu kwake hakutushughulishi....

Ajaribu tu....
 
Hata mimi sijamuelewa Elibariki Kingu kwa jinsi alivyochangia mjadala jana bungeni!
 
Umtuhumu Waziri Wa Afya na mwenyekiti wetu kuwa wamepewa fedha ili TUCHANJWE....dogo hilo?!!!!
Wewe unaona kawaida kuchanjwa chanjo haijulikani inafanya kazi kwa muda gani mwilini?
Hujui hata long term side effects?
 
Anajipendekeza lakini alipangwa kwa makusudi hata hivyo asije kujta kwa kauli aliyoitoa maana giza haliwezi kushindana na mwanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…