Mbunge Elibariki Kingu alipangwa kumnanga Bishop Gwajima au ndiyo kujipendekeza?

Hata mimi sijamuelewa Elibariki Kingu kwa jinsi alivyochangia mjadala jana bungeni!
Ni afadhali hata kuangalia video za ktk simu yako kuliko kuangalia utopolo wa bunge la vilaza hilo. Yaani hapa Mimi nawashangaa tuu mlio kuwa mkiangalia igizo hilo poleni sana.
 
Nikijibu kidogo tu,huyu ni mbunge wa singida Magharibi na ni boga Kama maboga mengine
Tapeli wa kisiasa
 
Hapana Mimi sivuti ila nilikuwa nakununulia kete mbili tatu
🤣🤣🤣🤣

Duuh umeamua kunidhalilisha eee?!!!

Tulikutania wapi?!!
Vichochoro vipi?!!

Sina mazoea ya ukaribu na watoto wa kike.....



Haya endelea mkuu....
 
Bongo sehemu kubwa ya wabunge ni maslahi yao hivyo kununulia ni bei ya kifungua kinywa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…