PreGE2025 Mbunge Elibariki Kingu atoa pikipiki sita kwa viongozi wa CCM ili kutekeleza majukumu yao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mbunge wa Singida Magharibi, Elibariki Kingu amekabidhi pikipiki sita kwa ajili kuwawezesha viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutekeleza majukumu yao hasa wakati huu chama hicho kikijiandaa kwa Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba, 2025.

Mbali na pikipiki hizo, Kingu pia amechangia vifaa mbalimbali kwa ajili ya ujenzi wa ofisi za jumuiya za chama mkoani Singida.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Kingu amekabidhi msaada huo leo Jumatatu Machi 24, 2025 mbele ya Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), Mohammed Kawaida.

Snapinst.app_485646071_18468125791070335_8608570462205451710_n_1080.jpg
Snapinst.app_485654283_18468125800070335_565918209127302135_n_1080.jpg
 
Maagizo hayawezi kuisha tanzania, kwa hiyo majukumu yao yanaanza nyakati za uchaguzi. Baada ya uchaguzi majukumu yao yanakwenda likizo. Kwani TAKUKURU wako wapi?
 
Lkn yote hii ni kutokana na mfumo wa sheria zetu mbovu kupitiliza. Under which law/Authority inamruhusu Mbunge kununua pikipiki au vifaa kwa kutumia pesa yake ya mfukoni. Kwangu mimi kwa macho ya kibinadamu hii ni rushwa ya kiwango cha mchana kweupe.
 
Mbunge wa Singida Magharibi, Elibariki Kingu amekabidhi pikipiki sita kwa ajili kuwawezesha viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutekeleza majukumu yao hasa wakati huu chama hicho kikijiandaa kwa Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba, 2025.

Mbali na pikipiki hizo, Kingu pia amechangia vifaa mbalimbali kwa ajili ya ujenzi wa ofisi za jumuiya za chama mkoani Singida.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Kingu amekabidhi msaada huo leo Jumatatu Machi 24, 2025 mbele ya Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), Mohammed Kawaida.

View attachment 3282288
Huyu mwamba namkumbuka issue yake na wale graduates wa SUA akiwa DC Igunga
 
Mbunge wa Singida Magharibi, Elibariki Kingu amekabidhi pikipiki sita kwa ajili kuwawezesha viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutekeleza majukumu yao hasa wakati huu chama hicho kikijiandaa kwa Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba, 2025.

Mbali na pikipiki hizo, Kingu pia amechangia vifaa mbalimbali kwa ajili ya ujenzi wa ofisi za jumuiya za chama mkoani Singida.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Kingu amekabidhi msaada huo leo Jumatatu Machi 24, 2025 mbele ya Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), Mohammed Kawaida.

View attachment 3282288
Ichaguzi umekaribia
 
Maagizo hayawezi kuisha tanzania, kwa hiyo majukumu yao yanaanza nyakati za uchaguzi. Baada ya uchaguzi majukumu yao yanakwenda likizo. Kwani TAKUKURU wako wapi?
Hajaanza Leo kutoa hizi supports
 
Back
Top Bottom