Pre GE2025 Mbunge Ester Midimu Atoa Baiskeli 400 na Majiko ya Gesi 400 kwa Viongozi UWT Mkoa wa Simiyu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Malizieni Bwawa, acheni kupenda Cheap Politics na Kulamba Asali umeme ushuke Bei watu wapikie majiko ya Umeme tuondokane na utegemezi wa kuagiza gesi kutoka kwa wengine....

Tujaribu kuwa Self Reliant....
 
Hiki kipindi kwa wanasiasa ni sawa na Kubeti unaweza kutumia zoote hizo lakini kura za awali tuu Chali. Kuwanyanganya huwezi unasema Bora ungewagawia ndugu zako
 
Kweli huko ni Simiyu, hizo baiskeli bado kuna watu wanazitumia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…