Mbunge Felister Njau ahoji mkakati wa Serikali kuthibiti matumizi ya TikTok

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
"...mtandao wa Tiktok ndio mtandao pendwa wa watoto wetu wanafunzi, lakini ndio mtandao unaoongoza kwa maudhui mabaya, nini mkakati wa Serikali kuhakikisha wanadhibiti mtandao huu ili kunusuru watoto wetu...." Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA - Felister Njau.
 
Mwambieni tupo kwenye dunia ya kidigital vitu kama hivyo lazima viwepo ila kwenye suala la watoto hilo ni jukumu la mzazi kumdhibiti mtoto wake asitumie mitandao husika, mtoto akiwa na smartphone au kompyuta mzazi awe ana control hicho chombo chake.
 
Yes, kinyume na hapa itakua kujidanganya tu
 
"...mtandao wa Tiktok ndio mtandao pendwa wa watoto wetu wanafunzi, lakini ndio mtandao unaoongoza kwa maudhui mabaya, nini mkakati wa Serikali kuhakikisha wanadhibiti mtandao huu ili kunusuru watoto wetu...." Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA - Felister Njau.
View attachment 3325065
takataka, tiktok imfanya nini?
 
Mwambieni tupo kwenye dunia ya kidigital vitu kama hivyo lazima viwepo ila kwenye suala la watoto hilo ni jukumu la mzazi kumdhibiti mtoto wake asitumie mitandao husika, mtoto akiwa na smartphone au kompyuta mzazi awe ana control hicho chombo chake.
Wazazi pekee hawawez, is why baadhinya serikal zimechukua hatua, either kudhibit contet au mrandao wenyewe
 
Nasikia Tik Tok ya China inawapa watu maudhui ya elimu, kujitegemea, uzalwnso na mambo mengine ya maana. Huku wanamuweka Piptyida akikatika na comedians wasiochekesha. Mbunge ana hoja.
 
Wazazi pekee hawawez, is why baadhinya serikal zimechukua hatua, either kudhibit contet au mrandao wenyewe
Kumbuka Tiktok haitumiwi na watoto pekee, kuizuia ni kuwakatili watumiaji watu wazima hapo ni mzazi mwenyewe apambane kumlinda mwanae la sivyo Internet ifungwe Tanzania turudi enzi za analojia.
 
Hapana , statistics zinaonyesha watumiaj wakubwa ni vijana.
Tik tok ni pacha wa duoyin, ni same software lakin ikiwa na malengo tofauti, content zinakuwa displayed upande wa china ni tofauti na content zinazoonekana huku.

Wanaachia vitu vya hoyo wakati kwao hawaachii.

Hiyo ndio concern
 
Tktk tz inatumiwa sana na wamaly,wDangaji,wasng

Ova
 
Watu wanapata ridhiki kupitia tiktok yeye anakuja na hoja za kipuuzi!!, HAWA wabunge ni wa nyakati zipi amabo hawaendani na Dunia?.
 
Back
Top Bottom