Mbunge gani harudi 2025?

Hali ya barabara Tabata na Ubungo Dsm ni mbaya sana
Yani Tabata utadhani sio mjini🤣 miaka nenda rudi barabara ziko vile vile tena ukienda Kimanga unaweza ukalia.
 
Mh Waziri MKUU, Natumai kwa busara zake atastahafu na kwenda kupumzika baada ya kulitumikia TAIFA.
 
Karatu, Moshi vijijini, Lupa, Simanjiro, Hai, Wasisahau kitu Dodoma.
 
Gwajima. Suala la kupeleka wapiga kura Birmigham hajatimiza.
Umesahau:
1.Kumfufua Amina Chifupa
2.Boti za uvuvi toka Japan
3.Kawe Development Foundation-utapeli mtupu.
4.Kujenga barabara jimbo lote la kawe.
5.etc
 
Reactions: Iza
Kuna Gambo pale Arusha na yule wa Arumeru Magharibi ambaye hata jina hajulikani
 
Watu wa Morogoro sijui huwa tuna shida gani, maana ni practically absurd kuruhusu mchaga aje kutuongoza kilombero. Na ukitaka kujua hivyo, jiulize kama mtu wa tribe la tofauti anaweza kwenda kugombea Uchagani na akashinda., never on earth
Yaani upumbavu mtupu, ila wale wa ifaza nakwambia yule dogo harudi. Historia inapnyesha pale wanakaaga kipindi kimoja tuui. Aliyerudia ni Gulamali na Mwesumu. Hapiti nomeenda kule juzi nikawauliza kiko wapi na huyo mtu wenu mtoto wa fundi chereheni( slongan) aliyokuwa anaitumia.
 
Mnyeti, Slaa, Tulia, Tale, Fa, na wengine kibao bila wizi au huruma hawapiti.
 
Gwajiboy, arudie kazi yake ya kufufua misukule feki
 
Kimei
Sasisha
Mbunge wa musoma mjini
Makamba
Nape
Mbunge wa kibamba
 
Wapo wengi sana ,msukuma,kibajaj,Babu tale,prof.mkenda, yaan ni weng sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…