Mbunge Garisa: Tanzania Walituchomea kuku,wakapiga mnada ng'ombe wetu

nyie mbaki tu mkipika kiwiliwili cha albino.msituletee aibu ya kishetanishetani hiyo
 
Hayo malori ya tanzania ni mengi kwa sababu wamerahisishiwa vigezo....ukiwa huna taaluma yyte na unajihusisha na biashara amabazo hazileti faida katika taifa letu kwenu....bidhaa pia km mtataka tubaniane poa...ndani ya miaka km kumi hv tutaheshimiana nakwambia
 
nyie mbaki tu mkipika kiwiliwili cha albino.msituletee aibu ya kishetanishetani hiyo
Na ninyi mbaki kufunza na kudhamini terrorists ili kuwauwa Jaluo na Luhya mkisingizia Alshababu. Nchi ipo namba 142 katika amani duniani, nchi hovyo kabisa hiyo.
 
Alichokifanya Jaguar ni sawasawa na kumwagia Petrol kwenye moto unaowaka chinichini!!!!!! Matatizo kati ya Kenya na TZ yako siku nyingi sana. Lankini JK alikua anatumia busara na uzoefu wa kidiplomasia kuyamaliza haya mambo.
- Hivi tujiulize ilikua ni lazima kuvichoma vile vifaranga vya kuku? vilikua na ugonjwa? au tatizo lilikua kodi?
- Kwa nini tulitaifisha na kupiga mnada ng'ombe za wamasai wa Kenya? Wamasai wa Kenya ndio hao hao wamasai wa Tanzania, kaka yuko Longido dada yuko Kajiaodo. Kabla ya mkoloni hii ilikua nchi moja? KWA NINI BUSARA ISINGETUMIKA, KUWATOZA FAINI NA KUWARUDISHIA NGOMBE ZAO?
- Kwa wale wanaojua sababu, kwanini yule dada wa Kenya aliye changulia kuwa CEO wa VODACOM TZ alinyimwa working permit? mbona kuna wazungu wengi tu hapa TZ wanafanya kazi za ovyo ovyo kabisa wamepewa permit?
- two wrongs don't make a right, Watz tumeanza kumwita ( Hon Aden Duale, EGH, MP, is the first Leader of Majority Party in the National Assembly the 11th and 12th Parliaments under the current constitution) ETI MSOMALI, KWANI MSOMALI SIO MKENYA. Watanzania tuna cheap argumentative synonym. Let's answer his concerns, in a civilised manner. He called a SPED a SPED, na sisi tuite kijiko ni kijiko. Tuacha siasa za mbogamboga.

Ndio, nakubali kabisa kulinda masilahi ya nchi yetu, lazima tuwe wakali, na kufuata sheria na protocols za EAC. WAKENYA WAMETUZIDI SANA KIELIMU na KIMAENDELEO, tunatakiwa kuwaonea wivu kwa kufanya kazi kwa bidii sana ili tuwafikie na sio kuwavuta shati au KUWALOGA?
 
Danganyika mmoja tunayojua?a bunch of lazy bones.

Sing this song in a high tone for it has always been your song...the so called brits of Africa!
We proclaim peace over all land of Kenya....but we will never ever entertain your arrogance and 'much know'.
 
Hahahahaha, agizeni mahindi, Mchele na pamba toka Mexico. Mumefungua kiwanda cha Rivatex lakini pamba mnategemea Tanzania, mtajua umuhimu wa Tanzania. Hicho kiwanda fungeni mitambo ya kutengeneza Condoms, hatutowauzia pamba.
 
Na ninyi mbaki kufunza na kudhamini terrorists ili kuwauwa Jaluo na Luhya mkisingizia Alshababu. Nchi ipo namba 142 katika amani duniani, nchi hovyo kabisa hiyo.

Terrorists si ni nyinyi tu kuna mwingine,si uchawi,si drug trafficking,si albino devouring,.....Are you even humans???sometimes I feel you are beings from another planet
 
Kama wakenya wanabaguana wao kwa wao itakuwaje sisi ambao siyo RAIA wa Kenya? Huko Kenya kuna wanajamii walimkataa Headmaster wa shule Fulani kisa tu si mzawa wa eneo hilo.
Waambie labda watakuelewa.
 
Wewe choko nini sasa kama serikali ya tz ilikosea sasa ndo muunge mkono watanzania wasio na wanasiasa kutweswa ugenini.
 
Makubwa watu wanaweka tuu data. Ila ki takwimu wakenya wameajiriwa wengi Tz kuliko watanzania kenya
Wajinga tu wanajidanganya, siku zote walikuwa wanasema Watanzania ni omba omba kwao, leo hii Watanzania wamekuwa threat tena mpaka wafukuzwe. Tukiamua kuwatimua hawa kenge watalia na kusaga meno.
 
Wamekuzidi wewe kielimu na kimaendeleo , kenya wenye maendeleo ni wachache waliomiliki ardhi wengi ni maskini na ndio maana wanakimbilia Tz kufanya kazi na kununua ardhi.wao kama wameonewa kwanini na wao wasitumie diplomasia kusawazisha mambo ? Diplomasia tutumie sisi wao hapana ? Ili tuwaone wameelimika sana kwa mujibu wa maneno yako , waache vurugu wafanye hiyo diplomasia.
 
Wajinga tu wanajidanganya, siku zote walikuwa wanasema Watanzania ni omba omba kwao, leo hii Watanzania wamekuwa threat tena mpaka wafukuzwe. Tukiamua kuwatimua hawa kenge watalia na kusaga meno.
Watalia haswa hawana kitu kwao , maskini haswa hata kachumbari wanauza ukinunua nyama choma.
 

KUMBUKA UCHUMI WA KENYA NI MARA MBILI YA TZ, kenya kuna watoto wengi shule kuliko Tz, wakati population yetu ni kubwa. Kenya kuna wanafunzi wengi university kuliko sisi.
 
Mbona kelele zinakuwa nyingi kama tupo soko la Ngamiani

Kila.nchi ibebe makopo yake halafu tuone nani ataumia

Hao omba omba wa kibongo huko Kenya hawana hata baiskeli ila huku tuna wakenya wana hadi shule watarudi na nguo zao tu
 
Terrorists si ni nyinyi tu kuna mwingine,si uchawi,si drug trafficking,si albino devouring,.....Are you even humans???sometimes I feel you are beings from another planet

Hahahahaha, the main product you can export to others is are terrorists.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…