... acha dharau! Wakati sisi tukiangalia ma-degree kama sifa muhimu zaidi wenzetu wanaangalia track-record ya mtu. Hivi kuna faida gani kumwajiri profesa ambaye mwisho wa siku ataliua shirika kwa poor management skills, nepotism, na/au corruption? Sylvia Mulinge, kweli ni food scientist ila amefanya kwenye telecom industry na output yake sio ya kitoto.
Amewahi kuwa Chief Customer Officer at Safaricom na Director of Special Projects at Safaricom moja ya makampuni ya simu bora kabisa katika ukanda huu! Vodacom waliona potential yake ambacho kimsingi ndicho wanachoangalia wao na sio aina ya degree. Nenda NASA kule Marekani uone kama sifa ya msingi ya kuajiriwa pale ni uprofesa au phd yako wakati baadhi ya phd's hata kunyoosha sentensi moja ikaeleweka ni shida!