Pigwa ww na familia yakoKama ni hivyo naunga mkono hoja ya mh jaguar Tupigwe tu mpaka tuchakae
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pigwa ww na familia yakoKama ni hivyo naunga mkono hoja ya mh jaguar Tupigwe tu mpaka tuchakae
Huyo mama wa Vodacom ilikuwa dharau kubwa kwa Tanzania .Mtu kasomea mambo ya vyakula halafu unampa kuwa Managing director wa kampuni ya Simu.Alichosomea haki match na role aliyotaka kupewa.Ndio Maana serikali ilimkataa.Kuku walichomwa Moto wasilete magonjwa yao Tanzania walikuwa hawakuwa na vibali vya Hali za afya zao.Huwezi safirisha kiumbe hai bila vyeti vya madaktari wa mifugo.Kwa hiyo huyo mbunge alitaka walete migonjwa yao ya midondo ya kuku Tanzania?Tanzania Inafuata Utawala Wa Sheria
Kuku Hawakuingia Kwa Utaratibu
Huyo Aliyetaka Kuja Vodacom Hivyo Hivyo
Hata tukisema kwa kejeli, haitaondoa ukweli kwamba kwa mujibu wa kanuni bora ya ujirani mwema, hata sisi hatukufanya vizuri sana katika mambo aliyotaja Mbunge. Tulisema sana kuhusu vifaranga vya kuku vilivyovhomwa moto, hata kama kulikuwa na ukiukaji wa sheria busara ingetuongoza kuwarudishia vifaranga vyao na siyo kuviteketeza. Kama tunaweza kuwarudishia wananchi wetu wanaokiuka kanuni za ufugaji tulishindwa nini kuwa waungwana na kuwapiga faini (kwa faida ya mahusiano) badala ya kupiga mnada?Hata mirungi yao pia tutaendelea kuikamata ni suala la kisheria wala siyo uungwana
Kama nchi yao wanaongoza kwa mujibu wa uungwana na siyo sheria ni wao
Mbona hakuna anayelalamika mtanzania kuhukumiwa miaka 99 jela kwa kuhusika na ugaidi Kenya?
Simply tunaheshimu sheria na taratibu zao
Now if you say soo what is the role of EAC then? Do you mean we break it also?i have listened this guy... what i understand now is kenyans for kenyans and tanzanians for tanzanians... lets call espade a spade !! this tanzanians-kenyans relationship must be viewed in all aspects if it is beneficial to both country and if it is not... why not be quited for the sake of both country?? the way this guy talking... is like he is talking the truth and the truth always hurts,!!! i think we should quit relationship for good... let tanzania be tanzania and kenya be kenya... this can be good....
Kumbe imeleta chukiHuyo Slyvia Mulinge aliyekataliwa kibali kuwa Managing director wa Vodacom Tanzania ana digriii ya food science.Eti ndio walimleta awe mkurugenzi mkuu wa kampuni ya simu!!! Food sience na Telecommunication wapi na wapi.? Serikali iliona hawa Wakenya wanafanya Tanzania wajinga Fulani Tungempa tungeonekana kituko
Mbunge anayo haki ya kutoa maoni.Wabongo wacha kelele Fika Nairobi city angalia pale sokoni owners wa biashara za pale mitaani wengi kutoka tz kama wale watu tunaita Juakali(machinga) nadhani utaelewa maana ya yule MP .Wakati wao wanamiliki biashara za magumashi bongo Watz wanamiliki biashara za halali pale Mombasa(wasambaa) Nairobi(Wachaga+ waarusha) sasa kumbukeni tu kuwa Wakenya wanaamini zaidi kwenye ajira na usomi kwa kifupi wanakawaida ya kujifungia kwenye msitu wa vitabu lah maskini kumbe maisha ya wanainch yanastawi kwenye biashara .Wakati wakija bongo wanataka ajira sisi tukienda Kenya tunatafuta wateja wa bidhaa zetu au zao wenyewe tunamake profit .Wao wako bize na vyuo vikuu kutafuta madigirii wabongo wapo bize na simple biznes .Si unajua tena kinachowauma zaidi shule zao bora kabisa ndiyo wanasoma watoto wetu kwa ada kubwa kabisa matokeo yakitika wanaonekana watoto wa tz wapo kwenye peak. Msijali wapendwa Rudini nyumbani kumenoga.Wadau,
Nimeangalia kwenye YouTube, Bunge la Kenya na kuna Mbunge mmoja anaiitwa Duale ameishambulia Tanzania na serikali yetu kuwa tuna wabagua kwa nafasi za kazi kwa watu wao na biashara na pia amesema yule mbunge Jaguar alietoa kauli tata kuhusu kuondolewa kwa wafanyabiashara wa kitanzania nchini Kenya, yupo sahihi kulinda maslahi ya wakenya.
Ameishambulia sana serikali ya Rais Magufuli na Bunge la Tanzania.
Nadhani kuna kitu hakiko sawa kwa uapnde wa hawa wenzetu. Kuna chuki fulani dhidi ya watanzania.
My observation; naona tumekuwa pia tishio kwa wakenya kwenye ushindani kuanzia biashara mpaka kwenye ajira. Maana huyu mbunge kalalamika kuwa machungwa na kabichi wanazokula bungeni zinatoka Tanzania, masoko nchini Kenya yametekwa na watanzania. Heko watanzania wenzangu!
We kweli pimbi! Hata huelewi nini kinasemwa unakimbilia Chadema inaunga mkono mateso!Kweli chadema hamna akili ya watanzania wanateseka wewe unaunga mkono? Nyie mataka madaraka kwa udi na uvumba hata kwa kumwaga damu za watanzania wenzenu?
Nabado 2020 inakuja watanzania tutawaonyesha kwamba tulifanya makosa kuwapa ubunge 2015 sasa lazima tuwafagie kwa fagio la chuma.
Eti wengi ni wachaga wenzenu!Kwani hayo yote yalifanyika kisheria? Je kwasababu ya hayo mambo ambayo unahisi serikali ya tz ilikosea ndo ushadie watanzania wenzako wasio wanasiasa wapigwe nchini Kenya ambao wengi ni wachaga wenzenu?
Mshkaji wangu wewe bado hujatembea.Hakuna benki wala kampuni yoyote inayofanya biashara kenya ila wao wana Equity KCB Citizen etc makampuni ya bima na hata wakenya wamejaa katika kazi nchini tanzania.Wakenya wana bidhaa lukuki madukani tanzania mfano sabuni ya JAMAA BLUE BAND OMO ETC.
wakati tanzania bidhaa zake ni raw materials kama mahindi mbao vitunguu etc bidhaa za vyakula tuu.Hakuna watanzania wanaofanya kazi kenya.
Hivyo mgomo ukianza wao ndiyo watapata hasara kubwa.
Mahindi Sembe yamepanda bei tanzania kwa sababu ya wakenya kuja moshi kununua kilo sh730 leo hii
He should have come to Tz n see how his fellow Kenyans are living lavishly. Kenyans in Tz are enjoying top jobs with big salaries and other fringe benefits. Most of these Kenyans have vowed not to go back home. They deem Tz to be their USA.
Nenda Kenya sasamlipokuwa mnaleta unyama kwenye vifaranga vya watu mlidhani mabwege wale , ni kipi alichoongea huyu mh unachoweza wewe kupinga ?