Mbunge Garisa: Tanzania Walituchomea kuku,wakapiga mnada ng'ombe wetu

I need to tell you something sisi ni majirani lakini pia jumuiya moja but in reality sisi watanzania ndio tulianza kuikoroga simply because hatukuangalia namna nzuri ya kudeal na Kenyan's ambao wamezagaa katika kila kona ya JMT isipokuwa tuliendeshwa na mihemuko wa kisiasa wenzetu wakabeba direct kwamba tunawachukia na hatuwataki huku kwetu
 
Mbunge wa Garisa mjini nchini Kenya Aden Duale amesema haungi matamshi ya Jaguar ila kuna mambo ya ovyo yanayofanywa na Rais Magufuli dhidi ya wakenya ambayo yanawakera sana

Amesema tangu Rais Magufuli aingie madarakani biashara kati ya Tanzania na Kenya imekuwa ya ovyo sana,"walikamata kuku zetu wakachoma,wakakamata ng'ombe wetu wakapiga mnada,hivi vitendo si vya kiungwana kabisa" Alisema mbunge huyo ambaye ni mwenyekiti wa wabunge walio wengi bungeni

Aliongeza kusema ni haki serikali ilinde nafasi za kazi kwa wakenya ,kwani hata mkurugenzi wa Safaricom alizuiliwa kufanya kazi Vodacom Tanzania na serikali ya Tanzania kisa kulinda kazi za watanzania

My take,haya mambo yasipoingiliwa kideplomasia huenda kuna anguko lingine la jumuiya ya Afrika Mashariki linakuja

Source BBC
Kwakua kenya wanadhani watz ni wengi zaidi kenya na huenda HAWAJUI wakenya walioko Tz ni wangapi serikali yetu ingewapa takwimu ata japo kiuchache tu wajue jinsi na wao walivyojazana katika ardhi yetu

Kifupi ni kwamba, Kenyans wapo wengi sana hususan sekta kama za Mabenki, Makampuni ya biashara, Mashule kibao (Na hapa nina mfano kabisa, shule ya JOYLAND INTERNATIONAL SCHOOL kigamboni) na Taasisi nyinginezo nyingi sana. Kenyans tayari wameshaanza kuchukua ardhi kwa spidi 150 maeneo mengi ya Tz kwakua kumiliki ardhi ndani ya nchi yao ni vigumu ardhi yote ilishahodhiwa na watu wachache (Capitalists) ma Landlods wenye kushikilia utajiri hali ya kwamba majority ni poor wakutupwa.

Now, Kauli alizotumia huyu mbunge si njema hata kidogo, huwezi kusema "if it's a spade let it be a spade".... What did he mean by this statement? Is it kama mbwayi na iwe mbwayi??....
Mbunge mwenzake Jaguar yeye alienda mbali zaidi akasema kama vipi tuwapige kisha tuwakamate tuwarudishwe kwao? Is this how we agreed to enter the integration. With the milestones of free movement and no tariffs to commodity of member states? Shit!

If that is the case, now it's a time for the government to take action against these xenophobic and unwelcoming words HATUWEZI tu kufumbia macho maswala kama haya as if sisi ndo tunafaidika sana na integration ya EAC na kwamba wao wakenya ndo Ma Don's kwny hii jumuiya
Hii inataka kuleta picha kama ile ya European Union vs Britain kwamba mmoja anajidai ndo anafaidisha tu huu jumuiya, Something which is Not true...!!!

I argue the government of Tz Under Magufuli to take serious of these allergies and take a proper action against them. Huyo CEO wa Benki ya Barclays tuanze naye huyo maana anaonekana anajua mengi akaisaidie serikali kwa hizo tuhuma zake. Halafu JOYLAND International mjiandae na nyie... Kwanza haiwezekani kila siku tunasema ukifungua enteprise au Institutions yeyote nchi jirani hata km tuko na integration lazima ubalance wafanyakazi wawepo wageni na wakwako nyinyi mnajaza wakenya tupu alafu sasahivi mnasema nini?

Rais Magufuli naomba uchukue hatua dhidi ya haya matendo ya hawa ndugu zetu haiwezekani kabisa. Kila siku sisi tunakuwa wahanga wahizi ajira halafu wanasingizia eti hatuji kingereza, pumb*f kabisa. Nyinyi ndo Waingereza mlioko Africa siyo? I want to know how many Lecturers do we have in Kenya? How many teachers, How many Doctors, How many Construcors, How many Bankers, How many School owners in Kenya, How many Land owners, How many Businesses Persons??

If you want patriotism we are also very Patriotic. Let a spade be Spades.
 
Wadau,

Nimeangalia kwenye YouTube, Bunge la Kenya na kuna Mbunge mmoja anaiitwa Duale ameishambulia Tanzania na serikali yetu kuwa tuna wabagua kwa nafasi za kazi kwa watu wao na biashara na pia amesema yule mbunge Jaguar alietoa kauli tata kuhusu kuondolewa kwa wafanyabiashara wa kitanzania nchini Kenya, yupo sahihi kulinda maslahi ya wakenya.

Ameishambulia sana serikali ya Rais Magufuli na Bunge la Tanzania.

Nadhani kuna kitu hakiko sawa kwa uapnde wa hawa wenzetu. Kuna chuki fulani dhidi ya watanzania.

My observation; naona tumekuwa pia tishio kwa wakenya kwenye ushindani kuanzia biashara mpaka kwenye ajira. Maana huyu mbunge kalalamika kuwa machungwa na kabichi wanazokula bungeni zinatoka Tanzania, masoko nchini Kenya yametekwa na watanzania. Heko watanzania wenzangu!

kama watanzania tunatakiwa kuchagua mataifa ya kufanya nao biashara za win win situation. Kenya hajawahi kuwa jirani mwema na kamwa haitakaa itokee
 
Wadau,

Nimeangalia kwenye YouTube, Bunge la Kenya na kuna Mbunge mmoja anaiitwa Duale ameishambulia Tanzania na serikali yetu kuwa tuna wabagua kwa nafasi za kazi kwa watu wao na biashara na pia amesema yule mbunge Jaguar alietoa kauli tata kuhusu kuondolewa kwa wafanyabiashara wa kitanzania nchini Kenya, yupo sahihi kulinda maslahi ya wakenya.

Ameishambulia sana serikali ya Rais Magufuli na Bunge la Tanzania.

Nadhani kuna kitu hakiko sawa kwa uapnde wa hawa wenzetu. Kuna chuki fulani dhidi ya watanzania.

My observation; naona tumekuwa pia tishio kwa wakenya kwenye ushindani kuanzia biashara mpaka kwenye ajira. Maana huyu mbunge kalalamika kuwa machungwa na kabichi wanazokula bungeni zinatoka Tanzania, masoko nchini Kenya yametekwa na watanzania. Heko watanzania wenzangu!
acha kupotosha, amezungumza facts zinazohusu moja kwa moja maslahi ya kenya.
 
Hakuna benki wala kampuni yoyote inayofanya biashara kenya ila wao wana Equity KCB Citizen etc makampuni ya bima na hata wakenya wamejaa katika kazi nchini tanzania.Wakenya wana bidhaa lukuki madukani tanzania mfano sabuni ya JAMAA BLUE BAND OMO ETC.
wakati tanzania bidhaa zake ni raw materials kama mahindi mbao vitunguu etc bidhaa za vyakula tuu.Hakuna watanzania wanaofanya kazi kenya.
Hivyo mgomo ukianza wao ndiyo watapata hasara kubwa.
Mahindi Sembe yamepanda bei tanzania kwa sababu ya wakenya kuja moshi kununua kilo sh730 leo hii
Tanzania ni fursa
 
Kwakua kenya wanadhani watz ni wengi zaidi kenya na huenda HAWAJUI wakenya walioko Tz ni wangapi serikali yetu ingewapa takwimu ata japo kiuchache tu wajue jinsi na wao walivyojazana katika ardhi yetu

Kifupi ni kwamba, Kenyans wapo wengi sana hususan sekta kama za Mabenki, Makampuni ya biashara, Mashule kibao (Na hapa nina mfano kabisa, shule ya JOYLAND INTERNATIONAL SCHOOL kigamboni) na Taasisi nyinginezo nyingi sana. Kenyans tayari wameshaanza kuchukua ardhi kwa spidi 150 maeneo mengi ya Tz kwakua kumiliki ardhi ndani ya nchi yao ni vigumu ardhi yote ilishahodhiwa na watu wachache (Capitalists) ma Landlods wenye kushikilia utajiri hali ya kwamba majority ni poor wakutupwa.

Now, Kauli alizotumia huyu mbunge si njema hata kidogo, huwezi kusema "if it's a spade let it be a spade".... What did he mean by this statement? Is it kama mbwayi na iwe mbwayi??....
Mbunge mwenzake Jaguar yeye alienda mbali zaidi akasema kama vipi tuwapige kisha tuwakamate tuwarudishwe kwao? Is this how we agreed to enter the integration. With the milestones of free movement and no tariffs to commodity of member states? Shit!

If that is the case, now it's a time for the government to take action against these xenophobic and unwelcoming words HATUWEZI tu kufumbia macho maswala kama haya as if sisi ndo tunafaidika sana na integration ya EAC na kwamba wao wakenya ndo Ma Don's kwny hii jumuiya
Hii inataka kuleta picha kama ile ya European Union vs Britain kwamba mmoja anajidai ndo anafaidisha tu huu jumuiya, Something which is Not true...!!!

I argue the government of Tz Under Magufuli to take serious of these allergies and take a proper action against them. Huyo CEO wa Benki ya Barclays tuanze naye huyo maana anaonekana anajua mengi akaisaidie serikali kwa hizo tuhuma zake. Halafu JOYLAND International mjiandae na nyie... Kwanza haiwezekani kila siku tunasema ukifungua enteprise au Institutions yeyote nchi jirani hata km tuko na integration lazima ubalance wafanyakazi wawepo wageni na wakwako nyinyi mnajaza wakenya tupu alafu sasahivi mnasema nini?

Rais Magufuli naomba uchukue hatua dhidi ya haya matendo ya hawa ndugu zetu haiwezekani kabisa. Kila siku sisi tunakuwa wahanga wahizi ajira halafu wanasingizia eti hatuji kingereza, pumb*f kabisa. Nyinyi ndo Waingereza mlioko Africa siyo? I want to know how many Lecturers do we have in Kenya? How many teachers, How many Doctors, How many Construcors, How many Bankers, How many School owners in Kenya, How many Land owners, How many Businesses Persons??

If you want patriotism we are also very Patriotic. Let a spade be Spades.
Kama mbwai na iwe mbwai tu.
 
Wadau,

Nimeangalia kwenye YouTube, Bunge la Kenya na kuna Mbunge mmoja anaiitwa Duale ameishambulia Tanzania na serikali yetu kuwa tuna wabagua kwa nafasi za kazi kwa watu wao na biashara na pia amesema yule mbunge Jaguar alietoa kauli tata kuhusu kuondolewa kwa wafanyabiashara wa kitanzania nchini Kenya, yupo sahihi kulinda maslahi ya wakenya.

Ameishambulia sana serikali ya Rais Magufuli na Bunge la Tanzania.

Nadhani kuna kitu hakiko sawa kwa uapnde wa hawa wenzetu. Kuna chuki fulani dhidi ya watanzania.

My observation; naona tumekuwa pia tishio kwa wakenya kwenye ushindani kuanzia biashara mpaka kwenye ajira. Maana huyu mbunge kalalamika kuwa machungwa na kabichi wanazokula bungeni zinatoka Tanzania, masoko nchini Kenya yametekwa na watanzania. Heko watanzania wenzangu!

He has just exposed the CEO of Barclays Tanzania lol
 
Huyo Abdi Mohammed, ni lazma ahojiwe na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama. Lazma ajue hii nchi sio ya mchezo mchezo.
Hii mindset ni mbaya sana. Ni mbaya sana. Ikimkosa wa mbali itamshughulikia wa karibu (inaweza kuwa mwanafamilia) IKATAENI.
 
Very IDIOTIC! We are feeding them, from streets to the parliament. Their land is not as arable as ours, and they know that lkn sasa wanakufuru. Kuna mtu amewalazimisha kula kabichi na mahindi ya Tanzania? Hawa watu wanajifunza chuki kidogo kidogo. Walizoea kubaguana sasa wamekinai ndani, wanatafuta na mwingine wa kumbagua
 
Hivi kwanza kuna nini cha maana huko kuja au wivu kwa sababu wanakuja kuwagonga hao mademu zenu? Pumbavuu
 
Huyo mama wa Vodacom ilikuwa dharau kubwa kwa Tanzania .Mtu kasomea mambo ya vyakula halafu unampa kuwa Managing director wa kampuni ya Simu.Alichosomea haki match na role aliyotaka kupewa.Ndio Maana serikali ilimkataa.Kuku walichomwa Moto wasilete magonjwa yao Tanzania walikuwa hawakuwa na vibali vya Hali za afya zao.Huwezi safirisha kiumbe hai bila vyeti vya madaktari wa mifugo.Kwa hiyo huyo mbunge alitaka walete migonjwa yao ya midondo ya kuku Tanzania?
Kama kuku hawakuwa na vibali kwa nini wasingezuiwa tu kuingia ili mwenye nao arudi nao walikotoka? Tusiwe wapumbavu wa kufanya mambo kwa dhamira ya kumkomoa mtu au nchi. Inahitajika busara na hekima katuka kutenda kila jambo. Watawala wetu na watendaji wa serikali wasifanye mambo kama watu walioondolewa akili.
 
Huyi MD wa barclays ni wakula nae sahani moja, mnaojulikana tusaidieni kumminya pumbu huyu spy wa Kenya

Kumbe MD wa Barclays bank ni spy bana
Watanzania tatizo tuna wapenda sana wenzetu mpaka wanatuona wajinga, NI WAKATI SASA KWA SERIKALI NA KILA MTANZANIA MZALENDO KUHAKIKISHA TUNAFANYA BIASHARA ZA KIUNGWANA NA MATAIFA YALE TU YENYE NIA NJEMA NA KUTUPILIA MBALI WAPUUZI .
 
Huyo Slyvia Mulinge aliyekataliwa kibali kuwa Managing director wa Vodacom Tanzania ana digriii ya food science.Eti ndio walimleta awe mkurugenzi mkuu wa kampuni ya simu!!! Food sience na Telecommunication wapi na wapi.? Serikali iliona hawa Wakenya wanafanya Tanzania wajinga Fulani Tungempa tungeonekana kituko
... acha dharau! Wakati sisi tukiangalia ma-degree kama sifa muhimu zaidi wenzetu wanaangalia track-record ya mtu. Hivi kuna faida gani kumwajiri profesa ambaye mwisho wa siku ataliua shirika kwa poor management skills, nepotism, na/au corruption? Sylvia Mulinge, kweli ni food scientist ila amefanya kwenye telecom industry na output yake sio ya kitoto.

Amewahi kuwa Chief Customer Officer at Safaricom na Director of Special Projects at Safaricom moja ya makampuni ya simu bora kabisa katika ukanda huu! Vodacom waliona potential yake ambacho kimsingi ndicho wanachoangalia wao na sio aina ya degree. Nenda NASA kule Marekani uone kama sifa ya msingi ya kuajiriwa pale ni uprofesa au phd yako wakati baadhi ya phd's hata kunyoosha sentensi moja ikaeleweka ni shida!
 
nani anazo takwimu za trade deficit kati yetu na kenya? my gut tells me wanatuuzia zaidi vya kwao kuliko wanavyonunua vyetu, hivyo wachunge midomo yao.
These guys wanajiona ma baba wa East Africa, wishing one day watimuliwe Tz na bidhaa zao kisha tufunge mpaka tuone kama watapumua kwenye ka nchi kao kadogo kama pipi tofi
 
Back
Top Bottom