Mbunge wa Garisa mjini nchini Kenya Aden Duale amesema haungi matamshi ya Jaguar ila kuna mambo ya ovyo yanayofanywa na Rais Magufuli dhidi ya wakenya ambayo yanawakera sana
Amesema tangu Rais Magufuli aingie madarakani biashara kati ya Tanzania na Kenya imekuwa ya ovyo sana,"walikamata kuku zetu wakachoma,wakakamata ng'ombe wetu wakapiga mnada,hivi vitendo si vya kiungwana kabisa" Alisema mbunge huyo ambaye ni mwenyekiti wa wabunge walio wengi bungeni
Aliongeza kusema ni haki serikali ilinde nafasi za kazi kwa wakenya ,kwani hata mkurugenzi wa Safaricom alizuiliwa kufanya kazi Vodacom Tanzania na serikali ya Tanzania kisa kulinda kazi za watanzania
My take,haya mambo yasipoingiliwa kideplomasia huenda kuna anguko lingine la jumuiya ya Afrika Mashariki linakuja
Source BBC
Kwakua kenya wanadhani watz ni wengi zaidi kenya na huenda HAWAJUI wakenya walioko Tz ni wangapi serikali yetu ingewapa takwimu ata japo kiuchache tu wajue jinsi na wao walivyojazana katika ardhi yetu
Kifupi ni kwamba, Kenyans wapo wengi sana hususan sekta kama za Mabenki, Makampuni ya biashara, Mashule kibao (Na hapa nina mfano kabisa, shule ya JOYLAND INTERNATIONAL SCHOOL kigamboni) na Taasisi nyinginezo nyingi sana. Kenyans tayari wameshaanza kuchukua ardhi kwa spidi 150 maeneo mengi ya Tz kwakua kumiliki ardhi ndani ya nchi yao ni vigumu ardhi yote ilishahodhiwa na watu wachache (Capitalists) ma Landlods wenye kushikilia utajiri hali ya kwamba majority ni poor wakutupwa.
Now, Kauli alizotumia huyu mbunge si njema hata kidogo, huwezi kusema "if it's a spade let it be a spade".... What did he mean by this statement? Is it kama mbwayi na iwe mbwayi??....
Mbunge mwenzake Jaguar yeye alienda mbali zaidi akasema kama vipi tuwapige kisha tuwakamate tuwarudishwe kwao? Is this how we agreed to enter the integration. With the milestones of free movement and no tariffs to commodity of member states? Shit!
If that is the case, now it's a time for the government to take action against these xenophobic and unwelcoming words HATUWEZI tu kufumbia macho maswala kama haya as if sisi ndo tunafaidika sana na integration ya EAC na kwamba wao wakenya ndo Ma Don's kwny hii jumuiya
Hii inataka kuleta picha kama ile ya European Union vs Britain kwamba mmoja anajidai ndo anafaidisha tu huu jumuiya, Something which is Not true...!!!
I argue the government of Tz Under Magufuli to take serious of these allergies and take a proper action against them. Huyo CEO wa Benki ya Barclays tuanze naye huyo maana anaonekana anajua mengi akaisaidie serikali kwa hizo tuhuma zake. Halafu JOYLAND International mjiandae na nyie... Kwanza haiwezekani kila siku tunasema ukifungua enteprise au Institutions yeyote nchi jirani hata km tuko na integration lazima ubalance wafanyakazi wawepo wageni na wakwako nyinyi mnajaza wakenya tupu alafu sasahivi mnasema nini?
Rais Magufuli naomba uchukue hatua dhidi ya haya matendo ya hawa ndugu zetu haiwezekani kabisa. Kila siku sisi tunakuwa wahanga wahizi ajira halafu wanasingizia eti hatuji kingereza, pumb*f kabisa. Nyinyi ndo Waingereza mlioko Africa siyo? I want to know how many Lecturers do we have in Kenya? How many teachers, How many Doctors, How many Construcors, How many Bankers, How many School owners in Kenya, How many Land owners, How many Businesses Persons??
If you want patriotism we are also very Patriotic. Let a spade be Spades.