Mbunge Garisa: Tanzania Walituchomea kuku,wakapiga mnada ng'ombe wetu

Naona Watanzania wamenuna sujui ni kwa sababu wanaogopa omba omba, machangundoa, drug traffickers na wachuuzi watajaa kwao na kuifanya Hali yao ya uchumi kudorora zaidi.
 
KUMBUKA UCHUMI WA KENYA NI MARA MBILI YA TZ, kenya kuna watoto wengi shule kuliko Tz, wakati population yetu ni kubwa. Kenya kuna wanafunzi wengi university kuliko sisi.
Huo uchumi unabebwa na matajiri wachache sana ,waliojitwalia ardhi kubwa huko , na kuwaacha wakenya wengi wanakosa mahali pa kuishi , wanaishi kwenye slums, wakenya wengi ni maskini , wewe ulishaona tz chapati inaizwa nusu? kenya ina eneo kubwa linaishi watu maskini kabisa.
 
Kila mtu kuwa mbabe wanaoumia ni wananchi tena wale wadogo na wakati..inatakiwa wote wakae watatue hilo tatizo sijaelewa huyu jamaa kala maharage ya wapi unamtaja Rais wa Nchi nyingine kwa Ubaya ndani ya Bunge kisa kujifanya kuongea ukweli huku akiharibu...Nchi za Afrika kuna shisa sana tunawauzia Chakula harafu mnatusema kama tunaopata ni sisi tuu...
 
Unajua hawa wakenya walizoea sana biashara za magendo hivyo safari hii wamekabwa ilivyo [emoji23][emoji23][emoji23]hivo ukiona hivo wanapiga makelele ni biashara zao za magendo zimeguswa, magu wanyooshe hadi wakae kwenye line waache ukora
 
We mkenya si bure "eti sisi tulio mpakani" mimi nina biashara zangu Namanga "Manga" lkn kwa kitendo hiki cha wakenya teba viongozi kabisa kwa kurudia rudia haivumiliki hata kidogo.....subiri kauli ya Magu maana hapepesi macho katika hili
 
SIJAWAHI SIKIA MBONGO ANAJADILI KENYA LAKN WAKENYA KILA SIKU WANAJADILI TZ . NAONA KUNA MTU ANAKANYAGWA KIMYA KIMYA .GOD BLESS TZ. TZ GOOOOOOOOOOOOO
 
KUMBUKA UCHUMI WA KENYA NI MARA MBILI YA TZ, kenya kuna watoto wengi shule kuliko Tz, wakati population yetu ni kubwa. Kenya kuna wanafunzi wengi university kuliko sisi.
Uchumi gani unaoshindwa kuwalisha watu wao badala yake wanategemea chakula cha msaada?.
Acha kukariri mambo na uanze kutumia akili. Hivi kama jirani yako anajenga nyumba yake, analisha familia yake, na ananunua gari zake kwa pesa yake, na wewe unaomba msaada wa chakula kwa ajili ya familia yako, unakopa kwa ajili ya kujenga NYUMBA na kununua gari la kutembelea, lakini ukitoka nje unajisifia kwamba wewe ni tajiri kuliko jirani yako, utakua na akili kweli?
 
Japo umejitahidi kujieleza kwelikweli lkn hukueleweka, ulitaka kusema nini hapa Mkuu wangu....
 
Mkuu huyo ni baadhi ya wale wanaosikia kuhusu kenya vijiweni [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wangeleta fye ningeanza na huyu wa Tanzania oxygen anatelipwa 25m kwa mwezi.
Hahahaha wivu huo sasa.... Wakenya acheni roho mbaya jamani. Sisi wote ni ndugu na Africa ni moja. Eti "anaelipwa 25m"...hapo ndio penye shida
 
Acha uongo wewe, eti bila Tanzania Kenya haipo. Kadanganye watu wa vijiweni huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…