I bet, iko siku ambayo sijui, Tz na K watazipiga ck moja ikitokea tukapata viongozi vichaa flan hvi maana katika Africa mashariki member states, Kenya na Tanzania hawana urafiki. Hawa ni Maadui lkn wana nafkiana sanakama watanzania tunatakiwa kuchagua mataifa ya kufanya nao biashara za win win situation. Kenya hajawahi kuwa jirani mwema na kamwa haitakaa itokee
Na safari hii tunawabana mpk kwenye chakula mpk waombe msamaha
Alichosema Duale haina tofauti na alichosema Jaguar, tofauti ni very slight kwamba Duale yeye hakusema "piga", na kutoa "24hrs" waondoke. The rest remain the same...acha kupotosha, amezungumza facts zinazohusu moja kwa moja maslahi ya kenya.
Acha uongo wewe, eti bila Tanzania Kenya haipo. Kadanganye watu wa vijiweni huko.
Ukisikiliza hiyo YouTube ya Duale, amesema MD wa Baclays Bank Tanzania ni mkenya anaetoka jimboni kwake na kwamba anaongea nae kila siku na kumpa taarifa kuwa wakenya waishio Tanzania wanapitia madhila mengi au kunyanyaswa sana...Amefanyeje!???
Yes, huyo anawekwa kikaangoni leo na mamlaka za nchi to tells more on what exactly he knows about the allegations by Duale's statement...He has just exposed the CEO of Barclays Tanzania lol
Alienuna humuoni,wa ke , ndio wanapiga pyopyopyo huko kwao.Naona Watanzania wamenuna sujui ni kwa sababu wanaogopa omba omba, machangundoa, drug traffickers na wachuuzi watajaa kwao na kuifanya Hali yao ya uchumi kudorora zaidi.
Mindset ipi Jogi? Unataka asihojiwe? Si katajwa na Mbunge wake kuwa anampatia taarifa kuhusu hali mbaya wanayopitia wakenya wanzao humu Tz? Si muhimu tujue km kwel wenzetu wakenya wananyanyasika hapa na nani anafanya hivyo? Na ikiwa ni uzushi basi huyu Abdi azibitiwe kwa hakika.... That's itHii mindset ni mbaya sana. Ni mbaya sana. Ikimkosa wa mbali itamshughulikia wa karibu (inaweza kuwa mwanafamilia) IKATAENI.
Exactly mkuuWatanzania tatizo tuna wapenda sana wenzetu mpaka wanatuona wajinga, NI WAKATI SASA KWA SERIKALI NA KILA MTANZANIA MZALENDO KUHAKIKISHA TUNAFANYA BIASHARA ZA KIUNGWANA NA MATAIFA YALE TU YENYE NIA NJEMA NA KUTUPILIA MBALI WAPUUZI .
Tena tumeitwa shamba la bibi, kwa kipindi kirefu , sasa shamba la bibi limefungwa , ndio tunasikia hizo kelele.Mbona kelele zinakuwa nyingi kama tupo soko la Ngamiani
Kila.nchi ibebe makopo yake halafu tuone nani ataumia
Hao omba omba wa kibongo huko Kenya hawana hata baiskeli ila huku tuna wakenya wana hadi shule watarudi na nguo zao tu
Hahahaha like ur statement u knw...These guys wanajiona ma baba wa East Africa, wishing one day watimuliwe Tz na bidhaa zao kisha tufunge mpaka tuone kama watapumua kwenye ka nchi kao kadogo kama pipi tofi
Goooo Tz gooo , shamba la bibi limefungwa wanalia , woyoooo.SIJAWAHI SIKIA MBONGO ANAJADILI KENYA LAKN WAKENYA KILA SIKU WANAJADILI TZ . NAONA KUNA MTU ANAKANYAGWA KIMYA KIMYA .GOD BLESS TZ. TZ GOOOOOOOOOOOOO
Shamba la bibi NoInatakiwa wajue Rais wa awamu hii sii mpole ohoo
Sasa wanalialia nini ?Acha uongo wewe, eti bila Tanzania Kenya haipo. Kadanganye watu wa vijiweni huko.
Na kwambia hivi, kwa namna ninavyomfahamu Rais wetu, kwamba hataki ujinga tena na madharau, serikali ya Kenya(speaker na hata Rais), ni lazma waombe radhi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huwezi kumdhihaki Rais wa nchi nyingine tena kwa mbunge ndani ya bunge na wakanyamazia just like that. Speaker wa bunge hilo alipaswa kumtaka Mbunge yule afute kauli lkn kwakua hakufanya hivyo maana yake ni kuwa ndo msimamo wa Bunge la Kenya, kumdhihaki na kumdhalilisha Rais wa Tanzania.Kila mtu kuwa mbabe wanaoumia ni wananchi tena wale wadogo na wakati..inatakiwa wote wakae watatue hilo tatizo sijaelewa huyu jamaa kala maharage ya wapi unamtaja Rais wa Nchi nyingine kwa Ubaya ndani ya Bunge kisa kujifanya kuongea ukweli huku akiharibu...Nchi za Afrika kuna shisa sana tunawauzia Chakula harafu mnatusema kama tunaopata ni sisi tuu...
Unaweza kutuambia sababu za magufuli kukutana na wafanyabiasha!!?Mindset ipi Jogi? Unataka asihojiwe? Si katajwa na Mbunge wake kuwa anampatia taarifa kuhusu hali mbaya wanayopitia wakenya wanzao humu Tz? Si muhimu tujue km kwel wenzetu wakenya wananyanyasika hapa na nani anafanya hivyo? Na ikiwa ni uzushi basi huyu Abdi azibitiwe kwa hakika.... That's it
Refer yule c.o wq vodacom ambaye tulimkataa mara mbili ambaye alitokea kenyaWadau,
Nimeangalia kwenye YouTube, Bunge la Kenya na kuna Mbunge mmoja anaiitwa Duale ameishambulia Tanzania na serikali yetu kuwa tuna wabagua kwa nafasi za kazi kwa watu wao na biashara na pia amesema yule mbunge Jaguar alietoa kauli tata kuhusu kuondolewa kwa wafanyabiashara wa kitanzania nchini Kenya, yupo sahihi kulinda maslahi ya wakenya.
Ameishambulia sana serikali ya Rais Magufuli na Bunge la Tanzania.
Nadhani kuna kitu hakiko sawa kwa uapnde wa hawa wenzetu. Kuna chuki fulani dhidi ya watanzania.
My observation; naona tumekuwa pia tishio kwa wakenya kwenye ushindani kuanzia biashara mpaka kwenye ajira. Maana huyu mbunge kalalamika kuwa machungwa na kabichi wanazokula bungeni zinatoka Tanzania, masoko nchini Kenya yametekwa na watanzania. Heko watanzania wenzangu!
Kwanini mkuuHahahaha umenchekesha san ndugu