Mbunge Garisa: Tanzania Walituchomea kuku,wakapiga mnada ng'ombe wetu

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]somalia tu wanaishi...[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]manina...wawekezaji wa kenya wakitoka bongo tu uchumi unaporomoka...omba omba wote,malaya wote,wachuuzi wote kwao...

Tunataka wawekezaji sisi
 
Sasa ww unafikir bila bongo uchumi wako utabaki salama...just watch out usije ukaukwaa undugu na hao Somalia bila kupenda... Ila sijui nyie watu mna shida gan..mbona wenzenu wanaishi safi tu huku....nimeshaajua mnaihofia Tz...kasi ya jpm inawapa frustration sana....and I think nyuma ya yule jaguar kuna mkono wa serikali,nafikir tu.[emoji23]
 
Bure my ass, your also worrisome to us because Tanzania is ur competitor within the region. We not that lazy like you and we cannot keep quite from your nasty thing your always doing to your neighbors
 
Well spoken Sir
 
Uhasama wa kuondolewa afcon
Utaendelea kudumu
 
Kenyatta is a true leader, pamoja na haya yote lakini bado karudisha dhahabu ..!
 
Nimemsikia anasema CEO wa Benki fulani anatoka Kenya na huwa anashitaki huko kwao kwamba wananyanyaswa hapa kwetu. Nashauri atafutwe mapema na atoe maelezo kama ni kweli ama la
Inabidi kwanza ni wezi Kuna mwingine Bashir Bawale ana kesi ya kujibu ule ile rushwa ya $6 mlm ya stabic bank inayowahusu Sinare, Kitilya na mpwae Lowassa Sioi!

 
unaota mzee hujui kama tz iko 20 yrs nyuma ya kenya Kwa sector zote .pole mkuu
NI kweli Sana. TANZANIA wako nyuma. Sababu NI wakombozi wa bara la Africa. Kenya amjawa na jukumu lolote kwenye ukombozi. Watanzania walikuwa wakieassifia wengine. Kenya mkifanya biashara na Makaburu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…