Mbunge Garisa: Tanzania Walituchomea kuku,wakapiga mnada ng'ombe wetu

Question you should ask yourself you dimwit is why Tanzania,and not Uganda, Rwanda, Burundi, Congo, SA, Nigeria or any other African Country...Truth of the matter is, Tanzanians are the worst neighbours to have...Full of themselves who think they can prosper without their neighbours....Your President is wary of the competition Kenya poses as the Economic giant in EA and to counter that, he tries to come up with repressing policies and the more he thinks he is MATAGA, h eis actually taking the country downhill......We live harmoniously with people from other countries......and why has UG not said anything and yet they were mentioned by Jaguar??Because Tanzanians have an inferiority complex! Bure kabisa
 
We miss Daniel Toroitich Arap Moi.
Ujinga kama hizi hungewahi kuziskia.
Kenyans must be respected.
 
Duale is right.
Muungano ziingine ni za kitoto heri tujitoe tuwe kivyetu.
Ile mashida kenyan east Africa hupitia hizi nchi maskini za east Africa ni noma sana.
Nyie mna utajiri gani? Huo wa kwenye makaratasi
 
Kumbe hii vita ya Jaguar tuliianzisha wenyewe!! Sikiliza Majority Leader bungeni kenya leo.
CCM.huyu jamaa mliyempitisha jwa kurs haramu atafanya mambo mengi na yatawatokea puani. Kila anachofanya anakosea.
 
Nimemsikia anasema CEO wa Benki furani anatoka Kenya na huwa anashitaki huko kwao kwamba wananyanyaswa hapa kwetu. Nashauri atafutwe mapema na atoe maelezo kama ni kweli ama la
Alikuwa CEO wa safaricom aliletwa kuwa msimamizi wa Vodacom akakataliwa kwa sababu ni.mkenya.
 
Wakenya wenyewe wanabaguana kwa makabila so sioni ajabu wao kubagua raia wa nchi nyingine tuwasamehe tu bado wako zama za mawe za kale.
 
Dont trust kenyan people wana roho mbaya sana alafu ni wanafiki sana nimefurahi sana amegusia suala la MD wa BARCLAYS BANK TZ eti pia nae anapeleka maneno kuwa huku TZ wanapitia magumu sana ili hali ewajaza wakenya kwenye post za juu na wanaenjoy salary nzuri sana,na tangu amekuja huyu MD staff welfare iko poor sana yani bank inapiga faida bt wafanyakazi mnaendelea kustrugle with low salaries,no motivations sasa kumbe haya ndio majibu yake anatukomoa kwa sababu anahisi ananyanyaswa kwenye hii nchi hawa watu hovyo sana.
 
Sawa Nyang'au la Kibera.
 
Sawa Nyang'au tumekuelewa.
 
Badhaa nying za kenya ziko hapa bongo na zina umaarufu mkubwa tu kushinda za ndani na wakenya weng wapo mashulen na sehem nyingne za kaz
 
Huyo Abdi Mohammed, ni lazma ahojiwe na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama. Lazma ajue hii nchi sio ya mchezo mchezo.
 
Kumbe lao moja hawa wanajifanya kuwa wameudhika? kati ya kiboko ambaye amewajua unafiki wa hawa jamaa ni mzee wa hapa kazi walifanya bongo kuwa sehemu ya kupigia madili sasa mzee kathibiti wanapiga kelele
 
Hapana, kingereza inakupa tabu wewe. Sikiliza tena. Anachoongea hapo ni siasa tu ya ku-justfy uovu wao na roho mbaya waliyonayo wakenya kwa watanzania. Huyo msomali hajitambui na hana cha kupoteza maana kwao ni somalia
Mkuu unakumbuka wakenya walichukua n'gombe wetu na siku nyingine wakachoma vifaranga! Yaani wana roho mbaya watu hao wa Kenya sijui kwanini. Juzi wakamtuma Cyprian Musiba aseme yoyote atakae mpinga rais watamuua,watampoteza au kumpa kilema. Wakenya wana roho mbaya
 
Mavijana mengi ya Tz ni mapuuzi na mazwazwa mnoo, yaan jitu linaunga mkono kila kitu eti simply haumpendi Magufuli or yeyote ktk Serikali, guys are yuu stupid? Yaan mzalendo gan anaweza kuunga mkono huu utumbo wa msomali kichaa
Bora wewe mkuu umeliona ili..pia nitakushangaa ukiendelea kumpinga mzalendo Musiba Cyprian.
We should not be blinded by patriotism ,what is wrong is wrong
 
Huyu atakuwa katumwa atuchafue tu, Tanzania hatuna ukabila, udini wala utaifa. Yeye CEO anyanyaswe na watu gani. Ni vema aondolewe kabisa kuliko kumuacha hapa na uchochezi wake.
Ila tunawanyanyasa watanzania wenzetu kama wapinzani asa wa CHADEMA au siyo mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…