Mbunge Garisa: Tanzania Walituchomea kuku,wakapiga mnada ng'ombe wetu

Mbunge Garisa: Tanzania Walituchomea kuku,wakapiga mnada ng'ombe wetu

Kama wanaona kula kabichi za Tanzania ni ishu kubwa wajiulize nguo na viatu wanavyovaa vinayoka wapi kama sio China, mbona hawasemi, na mbona huku maziwa toka Kenya yamejaa, hilo hawalioni?
 
Tangu lini muungano wa watu fukara ukadumu.Haya mambo tuwaachie wazungu wa EU tu lakini siyo sisi wa shithole countries. Kuna wajinga bado walikuwa wanafikiria eti tuwe na United states of Africa.Vinchi vinne tu tayari matatizo ndio ije nchi zaidi ya 50.
Unatuita wajinga? Si busara, chunga ukimi wako.
 
MP JAGUAR-STAREHE CONTITUENCY HAKUPANGA SEMI ZAKE KISAWASAWA LAKINI HOJA YAKE KILA MKENYA

ANAIFAHAMU!!! Wageni bila vibali au vibali gushi wanafanya biashara na kazi ambazo serikali ya kenya haitoi vibali kujiiuzisha!

Sheria za kenya zinaruhusu uwekezaji na kuajiri wakenya au kulete wataalamu kama huo utaalamu hauwezi kuupata Kenya!!

Omba Omba kutoka Tanzania na nchi zingine jirani, uchuuzi wa mali mali na n.k sio fadhila kwa Kenya.

Tanzania walifukuza wakenya na wageni toka nchi jirani mwaka juzi na hamna aliyeteta. Kwani Kenya haina ruksa kutekeleza sheria zake. Way to go Hon. Duale!!

 
Pumbavu kabisa wewe, huo ujinga wenu na kauli ya Duale itaigharimu Wakenya.

Mnaichezea Sharubu za Magufuli nyie. Kaa mkijua Magu sio Kikwete. Kabla hapajakucha jambajamba itafanyika kwa wakenya wote waliopo nchini na hapo ndio Utajua kuwa bila Tanzania, Kenya haipo.
 
Hapana, kingereza inakupa tabu wewe. Sikiliza tena. Anachoongea hapo ni siasa tu ya ku-justfy uovu wao na roho mbaya waliyonayo wakenya kwa watanzania. Huyo msomali hajitambui na hana cha kupoteza maana kwao ni somalia
 
Wewe unaongea usichokijua.
Do you think bila kuwa na Blocks utaweza kushindana ktk dunia ya leo.
1. USA ni muunganiko wa several states
2. Ukiwa member wa European countries U'r liable to work among of the Member states with free permit
3. Kumbuka kilichomkuta Theresa May (UK prime minister) under Brexit Saga.
Ukibaki wewe na Kenya yako mwishowe utaanza kubaguana Wakamba, Wakarenjini, Kikuyu, Luo
Hayo ni mawazo ya kimaskini sana.
After all ukija Tz utawakuta Kenyans wengi Dar es salaam, Arusha, Tarime wanafanya kazi au Biashara zao
 
Back
Top Bottom