Wewe unaongea usichokijua.
Do you think bila kuwa na Blocks utaweza kushindana ktk dunia ya leo.
1. USA ni muunganiko wa several states
2. Ukiwa member wa European countries U'r liable to work among of the Member states with free permit
3. Kumbuka kilichomkuta Theresa May (UK prime minister) under Brexit Saga.
Ukibaki wewe na Kenya yako mwishowe utaanza kubaguana Wakamba, Wakarenjini, Kikuyu, Luo
Hayo ni mawazo ya kimaskini sana.
After all ukija Tz utawakuta Kenyans wengi Dar es salaam, Arusha, Tarime wanafanya kazi au Biashara zao