Mbunge Garisa: Tanzania Walituchomea kuku,wakapiga mnada ng'ombe wetu

Safi sana.Namuunga mkono huyu mbunge maana kasema ukweli.

Huyu namuona kama Lissu wa Bunge la Kenya maana hamungunyi maneno bali anasema ukweli.
Mtalia na kusaga meno lakini watz wanajitimbua kamwe hawatawaunga mkono.
 
Mtaje tu mkuu kwamba Fulani anawanyanyasa wapinzani kwasababu ya uoga wake tu, ila usituweke wote kundi la muoga huyo

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Mwenyekiti wa BAVICHA kila anapoenda anakamatwa.Pili wanachadema kila wapotoa taarifa ya kufanya mkutano ya kisiasa wanyanywaswa na kukataliwa huku wanaccm wakifanya bila shida.Ref.Morogoro
 
Ama kweli unawashwa na kinyeo, sasa hapa umesema nini?? Jibu hoja yangu pumbavu. Mm hapa kwangu, mfanyakazi wa ndani, gardener na mlinzi pale nje ni wakenya wenzio, je kwa uroho yenu mbaya mnataka tuwafukuze na wao??
Ccm katika ubora wake...
 
Mwenyekiti wa BAVICHA kila anapoenda anakamatwa.Pili wanachadema kila wapotoa taarifa ya kufanya mkutano ya kisiasa wanyanywaswa na kukataliwa huku wanaccm wakifanya bila shida.Ref.Morogoro
Hakuna kitu kibaya kwa kiongozi kama kuwa Muoga na mwenye wivu, anyway tuyaache haya nina watoto wadogo msije mkaanza kutembeza kidaftari cha msomi kuchangisha rambirambi
 
Wakenya wenyewe wanabaguana kwa makabila so sioni ajabu wao kubagua raia wa nchi nyingine tuwasamehe tu bado wako zama za mawe za kale.
Heri kibaguana kuliko kutekana na kunyofoana minofu na kulana[emoji26][emoji26][emoji26]
 
Si ni juzi tu Watanzania wemeuawa pale South Africa? Hawa watu hawapendi Nchi yao, ni wazi kuwa Kenya na South Africa ni Kama Marekani kwa Mexico.

Deportations zikafanywa watu wa kuumia ni Watanzania, ikumbukwe omba omba, walinzi (watch men), wachuuzi bidhaa ndogo ndogo, na machangundoa wengi hapa Kenya ni Watanzania...we literally feed these mofos and yet they dare bite the hand that feeds them. Duale is right about these mofos refusing Sylvia Mulinge the right to work in Vodacom Tz and yet they want to be allowed to go about their business in KENYA.

Wachukue omba omba wao uone vile uchumi was utadorora zaidi.
 
Safi sana.Namuunga mkono huyu mbunge maana kasema ukweli.

Huyu namuona kama Lissu wa Bunge la Kenya maana hamungunyi maneno bali anasema ukweli.
Mtumwa wa kifikra wew, hujitambui na hutakuja kujitambua milele. Ungekuwa karibu ningekupasua makalio kwa shoka.
Kwangu Tanzania kwanza, siasa na mengineyo baadae. Siwezi kumsupport mjinga mmoja anayewakandamiza na kuwatishia maisha watanzania wenzangu kwa sababu tu za chuki zake na kutafuta umaarufu wa kisiasa.
NAKUPENDA TANZANIA, NITAKULINDA NA KUKUTETEA POPOTE SIKU ZOTE ZA UHAI WANGU.
 
Ni kweli, ila ukimsikiliza kwa makini wakati anamalizia anaongelea CEO wa benki furani hapa Tanzania ambaye uwa ana mawasiliano nae mara kwa mara, na huyo CEO anamueleza mambo mengi wanayopitia wakenya waliopo hapa Tanzania.
Na wewe unaamini Wakenya wananyanyasika Tanzania!?
 
Kwani kuna watu wanaitwa wakenya na sio wajaluo na wakikuyu
 
Sawasawa kabisa, wananchi waachwe waishi popote, binadamu ameumbwa kuwa kiumbe huru.Tatizo watanzania hatupendi wageni kwa sababu ya uoga wetu na chuki tu.
 
Wanafiki wakubwa nyie.Mnajifanya wajuaji na wazalendo kumbe waogo wakubwa.Mmefanya ya hovyo wacha sasa mpate mnachostahili.

Kila kitu hovyo hovyo tu na hakuna matokeo chanya zaidi ya kuharibu kila sekta.

Hata TRA walipokuwa wanavuruga biashara zao watu maneno yenu yalikuwa haya haya ila leo mmewageuka.Mnapenda sifa za kijinga na zisizo na maana.
 
Hii ndiyo dhambi ya ukabila na ubaguzi inavyo tafuna binadamu ukimaliza nyumbani kwako unakwenda mpaka kwa jirani.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…