Mbunge Garisa: Tanzania Walituchomea kuku,wakapiga mnada ng'ombe wetu

Mbunge Garisa: Tanzania Walituchomea kuku,wakapiga mnada ng'ombe wetu

Safi sana.Namuunga mkono huyu mbunge maana kasema ukweli.

Huyu namuona kama Lissu wa Bunge la Kenya maana hamungunyi maneno bali anasema ukweli.
Mtalia na kusaga meno lakini watz wanajitimbua kamwe hawatawaunga mkono.
 
Mtaje tu mkuu kwamba Fulani anawanyanyasa wapinzani kwasababu ya uoga wake tu, ila usituweke wote kundi la muoga huyo

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Mwenyekiti wa BAVICHA kila anapoenda anakamatwa.Pili wanachadema kila wapotoa taarifa ya kufanya mkutano ya kisiasa wanyanywaswa na kukataliwa huku wanaccm wakifanya bila shida.Ref.Morogoro
 
Ama kweli unawashwa na kinyeo, sasa hapa umesema nini?? Jibu hoja yangu pumbavu. Mm hapa kwangu, mfanyakazi wa ndani, gardener na mlinzi pale nje ni wakenya wenzio, je kwa uroho yenu mbaya mnataka tuwafukuze na wao??
Ccm katika ubora wake...
 
Mwenyekiti wa BAVICHA kila anapoenda anakamatwa.Pili wanachadema kila wapotoa taarifa ya kufanya mkutano ya kisiasa wanyanywaswa na kukataliwa huku wanaccm wakifanya bila shida.Ref.Morogoro
Hakuna kitu kibaya kwa kiongozi kama kuwa Muoga na mwenye wivu, anyway tuyaache haya nina watoto wadogo msije mkaanza kutembeza kidaftari cha msomi kuchangisha rambirambi
 
Wakenya wenyewe wanabaguana kwa makabila so sioni ajabu wao kubagua raia wa nchi nyingine tuwasamehe tu bado wako zama za mawe za kale.
Heri kibaguana kuliko kutekana na kunyofoana minofu na kulana[emoji26][emoji26][emoji26]
 
Si ni juzi tu Watanzania wemeuawa pale South Africa? Hawa watu hawapendi Nchi yao, ni wazi kuwa Kenya na South Africa ni Kama Marekani kwa Mexico.

Deportations zikafanywa watu wa kuumia ni Watanzania, ikumbukwe omba omba, walinzi (watch men), wachuuzi bidhaa ndogo ndogo, na machangundoa wengi hapa Kenya ni Watanzania...we literally feed these mofos and yet they dare bite the hand that feeds them. Duale is right about these mofos refusing Sylvia Mulinge the right to work in Vodacom Tz and yet they want to be allowed to go about their business in KENYA.

Wachukue omba omba wao uone vile uchumi was utadorora zaidi.
 
Safi sana.Namuunga mkono huyu mbunge maana kasema ukweli.

Huyu namuona kama Lissu wa Bunge la Kenya maana hamungunyi maneno bali anasema ukweli.
Mtumwa wa kifikra wew, hujitambui na hutakuja kujitambua milele. Ungekuwa karibu ningekupasua makalio kwa shoka.
Kwangu Tanzania kwanza, siasa na mengineyo baadae. Siwezi kumsupport mjinga mmoja anayewakandamiza na kuwatishia maisha watanzania wenzangu kwa sababu tu za chuki zake na kutafuta umaarufu wa kisiasa.
NAKUPENDA TANZANIA, NITAKULINDA NA KUKUTETEA POPOTE SIKU ZOTE ZA UHAI WANGU.
 
Ni kweli, ila ukimsikiliza kwa makini wakati anamalizia anaongelea CEO wa benki furani hapa Tanzania ambaye uwa ana mawasiliano nae mara kwa mara, na huyo CEO anamueleza mambo mengi wanayopitia wakenya waliopo hapa Tanzania.
Na wewe unaamini Wakenya wananyanyasika Tanzania!?
 
Kwani kuna watu wanaitwa wakenya na sio wajaluo na wakikuyu
Question you should ask yourself you dimwit is why Tanzania,and not Uganda, Rwanda, Burundi, Congo, SA, Nigeria or any other African Country...Truth of the matter is, Tanzanians are the worst neighbours to have...Full of themselves who think they can prosper without their neighbours....Your President is wary of the competition Kenya poses as the Economic giant in EA and to counter that, he tries to come up with repressing policies and the more he thinks he is MATAGA, h eis actually taking the country downhill......We live harmoniously with people from other countries......and why has UG not said anything and yet they were mentioned by Jaguar??Because Tanzanians have an inferiority complex! Bure kabisa
 
Nchi zote mbili zitaathirika lakini kenya itaathirika zaidi. Wakenya wanetapakaa nchi hii hata katika maeneo remote ambako hutarajii kuwakuta unawakuta waneshaoa zaidi kuliko kuolewa na wamezaliana sana. Wanafanya biashara kubwa na ndogo wanafuga na kulima. Mi nafikiri tuache tu wananchi wa EA waishi wanavyoishi tu!
Sawasawa kabisa, wananchi waachwe waishi popote, binadamu ameumbwa kuwa kiumbe huru.Tatizo watanzania hatupendi wageni kwa sababu ya uoga wetu na chuki tu.
 
Mtumwa wa kifikra wew, hujitambui na hutakuja kujitambua milele. Ungekuwa karibu ningekupasua makalio kwa shoka.
Kwangu Tanzania kwanza, siasa na mengineyo baadae. Siwezi kumsupport mjinga mmoja anayewakandamiza na kuwatishia maisha watanzania wenzangu kwa sababu tu za chuki zake na kutafuta umaarufu wa kisiasa.
NAKUPENDA TANZANIA, NITAKULINDA NA KUKUTETEA POPOTE SIKU ZOTE ZA UHAI WANGU.
Wanafiki wakubwa nyie.Mnajifanya wajuaji na wazalendo kumbe waogo wakubwa.Mmefanya ya hovyo wacha sasa mpate mnachostahili.

Kila kitu hovyo hovyo tu na hakuna matokeo chanya zaidi ya kuharibu kila sekta.

Hata TRA walipokuwa wanavuruga biashara zao watu maneno yenu yalikuwa haya haya ila leo mmewageuka.Mnapenda sifa za kijinga na zisizo na maana.
 
Hii ndiyo dhambi ya ukabila na ubaguzi inavyo tafuna binadamu ukimaliza nyumbani kwako unakwenda mpaka kwa jirani.
 
MP JAGUAR-STAREHE CONTITUENCY HAKUPANGA SEMI ZAKE KISAWASAWA LAKINI HOJA YAKE KILA MKENYA ANAIFAHAMU!!! Wageni bila vibali au vibali gushi wanafanya biashara na kazi ambazo serikali ya kenya haitoi vibali kujiiuzisha!!!Sheria za kenya zinaruhusu uwekezaji na kuajiri wakenya au kulete wataalamu kama huo utaalamu hauwezi kuupata Kenya!!
Omba Omba kutoka Tanzania na nchi zingine jirani, uchuuzi wa mali mali na n.k sio fadhila kwa Kenya.
Tanzania walifukuza wakenya na wageni toka nchi jirani mwaka juzi na hamna aliyeteta. Kwani Kenya haina ruksa kutekeleza sheria zake. Way to go Hon. Duale!!

 
Back
Top Bottom