Prof_Adventure_guide
JF-Expert Member
- Dec 21, 2023
- 533
- 1,499
Yani leo hii tunaamka asubuhi, tunakuta msomi wa vichochoroni—mtu ambaye labda hata hana basic comprehension ya civic responsibility—anawaita Watanzania “kenge” eti kwa sababu amepewa nafasi ya kusema kwenye jukwaa la heshima kama Bunge? What the actual f*ck?
Watu tunaomwaga jasho, tumetoka mbali—tumehangaika kusoma hadi level ya Masters. Tumefanya mitihani ya maana, tumekesha na assignments, projects, and real-life community work. Lakini leo hii, mtu ambaye hajui hata grammar ya darasa la saba anajisahau eti kwa sababu kapewa mic, na anawaita watanzania kenge? Btch please!
Let’s talk facts: Elimu si tu kujua kusoma na kuandika. Elimu ni uwezo wa kutafakari, kupambanua mambo, na kuheshimu utu wa wengine. Hawa “waheshimiwa” wa kuunga unga ambao wamejichomeka tu kwenye system kwa sababu ya loyalty za kisiasa, wanatufanya tuonekane kama taifa la watu wasio na direction. Real talk – huyu jamaa ni disgrace kwa institution ya Bunge.
Hizi ndizo sababu tunaishia kuwa wa mwisho kila kukicha. Tunaweka watu wa hovyo kwenye nafasi za juu kwa sababu ya ushabiki na siasa za kijinga. Halafu hawa watu wanatupa matusi hadharani, bila hata aibu. Mfano mzuri wa “fool on the throne” – mtu mjinga akiwa na mamlaka, anadhani yeye ni Mungu mtu. Sht is fcked up!
We can’t normalize ignorance anymore. Hatupaswi kukaa kimya kila tukitukanwa na watu wasio na moral authority wala academic standing. Kama mtu anaweza kusimama bungeni na kuwaita Watanzania “kenge” basi hatufai kumpa nafasi hiyo. It’s time we clean the f*cking house!