Mkuu ubarikiwe sana kwa kunikumbusha hilo na kunitajia baadhi ya sifa muhimu za huyo mbungeUkumwita mchungaji utakuwa unamvunjia heshima.
Huyu ni baba Askofu aliyetukuka.
Askofu mtaalam wa kukata mauno juu ya kikojoleo cha muumini wake.
Kama wewe unasubiria treni, wenzio pia bado tunasuburia tripu ya kwenda Marekani kwenda kujifunza kuendesha boti za uvuvi tayari kuja kuendesha boti alizosema atawapa bure vijana wa jimboni kwake.
Taifa hili lina idadi kubwa sana ya wajinga na elimu imeshindwa kutoa ujinga.Lkn kuna watu bado wana waumini utadhani ni Mungu wao
Kabisa na kwa njia hii hatuwezi kuupiga vita umasikini ktk familia zetu maana bado kuna watu wanachukua kidogo walicho nacho kwenda kuwachangia kina GwajimaTaifa hili lina idadi kubwa sana ya wajinga na elimu imeshindwa kutoa ujinga.
Eti askofu anaitwa chidi boyUkumwita mchungaji utakuwa unamvunjia heshima.