Mbunge Gwajima, wana Kawe bado tunaisubiria treni uliyotuahidi

Wahenga wanasema kuwa ahadi ni deni na kwetu sisi waswahili tupo macho.

Mh Gwajima ulituahidi kuwa tayari ulushapata treni ya kutuhudumia sisi wapiga kura wako.

Tangu October 2020 hadi leo hii ni June 2021 ni miezi 8 imepita bado hatujaiona hiyo treni.

Wewe ni mchungaji hutakiwi kuwa muongo maana ukiwa muongo tayari utakuwa imekosa sifa ya kuwa mchungaji.

Sasa nyinyi wananchi wa Kawe hebu chagueni basi mnataka Treni au mnataka kwenda Marekani ?
 
Mkuu sisi kwanza tuione treni yetu ingawa hatujui itafikaje kawe na baada ya hapo tukabidhiwe boti zetu za uvuvi.

Tukisha kabidhiwa hayo yoote ndiyo kwa moyo mkunjufu tuanze safari ya kwenda Marekani.
 
R.I.P Magufuli

Ulikataa lock down kwa watanzania licha ya chadema kukimbia bunge na kwenda kukaa lockdown.
Sasa uchumi umekua.
Ameolewa na shetani kule kuzimu nasikia na sahivi ana ujauzito wa ibilisi wa miezi mitatu
 
Wahenga wanasema kuwa ahadi ni deni na kwetu sisi waswahili tupo macho.

Mh Gwajima ulituahidi kuwa tayari ulushapata treni ya kutuhudumia sisi wapiga kura wako.

Tangu October 2020 hadi leo hii ni June 2021 ni miezi 8 imepita bado hatujaiona hiyo treni.

Wewe ni mchungaji hutakiwi kuwa muongo maana ukiwa muongo tayari utakuwa imekosa sifa ya kuwa mchungaji.

Mimi pia nangojea ajira ya kuvua Samaki kwakutumia boat za kisasa kutoka kwenye Jimbo la Hokkaido Japan kila siku napasha baharini
 
Amalize kikao cha bunge akashughulikie kutatua migogoro ya ardhi kule Mbopo.

Ashirikiane na aliyekuwa DC Kinondoni kaka Daniel Chongolo ambae kwa sasa ni katibu wa CCM.

Ashirikiane na waziri Lukuvi.

Ashirikiane na RC mpya .

N.k

Kuna watu waovu wamechukua maeneo ya watu Kibabe na wanaendelea kunufaika nayo kadiri siku zinavyosogea wakati wamiliki halali wanaendelea kulipa majeresho ya mikopo walokopa kwa miaka mingi bila kufaidika na Umiliki wa maeneo hayo.
 
The devil is a liar.
Gwajima is a liar
Gwajima is the devil incarnate
 
Wahenga wanasema kuwa ahadi ni deni na kwetu sisi waswahili tupo macho.

Mh Gwajima ulituahidi kuwa tayari ulushapata treni ya kutuhudumia sisi wapiga kura wako.

Tangu October 2020 hadi leo hii ni June 2021 ni miezi 8 imepita bado hatujaiona hiyo treni.

Wewe ni mchungaji hutakiwi kuwa muongo maana ukiwa muongo tayari utakuwa imekosa sifa ya kuwa mchungaji.

Wengine hapa pamoja na uticha wetu tumejikusuru na kuhakikisha tunapata passport tukisubiria safari ya Birmingham.

Naona tutaondoka akishamaliza kikao cha bajeti bungeni!
 
Kabla hujaikubali hiyo ahadi ulitakiwa kwanza ujiulize hiyo treni itapita wapi?

Kama ulikubali treni wakati njia ya kupita huijui wewe ndio wa kulaumiwa.
Nawaumini wakashangilia
 
Kuna vitu nikiviona kwa gwajima naona makonda alionewa

Ila nikifutilia mienendo ya makonda naona ni kama gwajima alikuwa najua tusicho kijua

Ukiangalia namna gwajima anavyo tumia dini kumpandisha unagundua kuwa dini ni kichaka cha wengi

IMANI NI MATENDO ila kwenye matendo gwajima kawaangusha walio mwamini
 
Hapo anaongea na misukule yake... Ogopa Mungu,na teknolojia
 
Kwani wote tumetekeleza ahadi tulizoahidi wakati tunatongoza? KAWE mmepigwa tongozo mkajaa!!!!!
 
Wengine hapa pamoja na uticha wetu tumejikusuru na kuhakikisha tunapata passport tukisubiria safari ya Birmingham.

Naona tutaondoka akishamaliza kikao cha bajeti bungeni!
Hongereni sana Mimi nasubiria boti ya uvuvi
 
Kuna vitu nikiviona kwa gwajima naona makonda alionewa

Ila nikifutilia mienendo ya makonda naona ni kama gwajima alikuwa najua tusicho kijua

Ukiangalia namna gwajima anavyo tumia dini kumpandisha unagundua kuwa dini ni kichaka cha wengi

IMANI NI MATENDO ila kwenye matendo gwajima kawaangusha walio mwamini
Woote ni matapeli tu
 
Back
Top Bottom