Tukisema RIP huwa tunamaanisha nafsi yake ipumzike kwa amani sasa wewe kumuitaita kila saa utasababisha atoke huko under world awe mzimu aanze kutusumbua upyaR.I.P Magufuli
Ulikataa lock down kwa watanzania licha ya chadema kukimbia bunge na kwenda kukaa lockdown.
Sasa uchumi umekua.
Sasa nyinyi wananchi wa Kawe hebu chagueni basi mnataka Treni au mnataka kwenda Marekani ?Wahenga wanasema kuwa ahadi ni deni na kwetu sisi waswahili tupo macho.
Mh Gwajima ulituahidi kuwa tayari ulushapata treni ya kutuhudumia sisi wapiga kura wako.
Tangu October 2020 hadi leo hii ni June 2021 ni miezi 8 imepita bado hatujaiona hiyo treni.
Wewe ni mchungaji hutakiwi kuwa muongo maana ukiwa muongo tayari utakuwa imekosa sifa ya kuwa mchungaji.
Mkuu sisi kwanza tuione treni yetu ingawa hatujui itafikaje kawe na baada ya hapo tukabidhiwe boti zetu za uvuvi.Sasa nyinyi wananchi wa Kawe hebu chagueni basi mnataka Treni au mnataka kwenda Marekani ?
Ameolewa na shetani kule kuzimu nasikia na sahivi ana ujauzito wa ibilisi wa miezi mitatuR.I.P Magufuli
Ulikataa lock down kwa watanzania licha ya chadema kukimbia bunge na kwenda kukaa lockdown.
Sasa uchumi umekua.
Mimi pia nangojea ajira ya kuvua Samaki kwakutumia boat za kisasa kutoka kwenye Jimbo la Hokkaido Japan kila siku napasha bahariniWahenga wanasema kuwa ahadi ni deni na kwetu sisi waswahili tupo macho.
Mh Gwajima ulituahidi kuwa tayari ulushapata treni ya kutuhudumia sisi wapiga kura wako.
Tangu October 2020 hadi leo hii ni June 2021 ni miezi 8 imepita bado hatujaiona hiyo treni.
Wewe ni mchungaji hutakiwi kuwa muongo maana ukiwa muongo tayari utakuwa imekosa sifa ya kuwa mchungaji.
Wengine hapa pamoja na uticha wetu tumejikusuru na kuhakikisha tunapata passport tukisubiria safari ya Birmingham.Wahenga wanasema kuwa ahadi ni deni na kwetu sisi waswahili tupo macho.
Mh Gwajima ulituahidi kuwa tayari ulushapata treni ya kutuhudumia sisi wapiga kura wako.
Tangu October 2020 hadi leo hii ni June 2021 ni miezi 8 imepita bado hatujaiona hiyo treni.
Wewe ni mchungaji hutakiwi kuwa muongo maana ukiwa muongo tayari utakuwa imekosa sifa ya kuwa mchungaji.
Nawaumini wakashangiliaKabla hujaikubali hiyo ahadi ulitakiwa kwanza ujiulize hiyo treni itapita wapi?
Kama ulikubali treni wakati njia ya kupita huijui wewe ndio wa kulaumiwa.
Woote ni matapeli tuKuna vitu nikiviona kwa gwajima naona makonda alionewa
Ila nikifutilia mienendo ya makonda naona ni kama gwajima alikuwa najua tusicho kijua
Ukiangalia namna gwajima anavyo tumia dini kumpandisha unagundua kuwa dini ni kichaka cha wengi
IMANI NI MATENDO ila kwenye matendo gwajima kawaangusha walio mwamini