kobosir Member Joined Jan 10, 2013 Posts 30 Reaction score 24 Jun 10, 2021 #41 Mmawia said: Siyo issue sana maana ccm haijawahi kubadilika Click to expand... waambie wanakawe walioambiwa wiki ijayo tutazindua treni, wakati hakuna hata dalili ya reli kujengwa....watazindulia wapi? Kidimbwini?
Mmawia said: Siyo issue sana maana ccm haijawahi kubadilika Click to expand... waambie wanakawe walioambiwa wiki ijayo tutazindua treni, wakati hakuna hata dalili ya reli kujengwa....watazindulia wapi? Kidimbwini?
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 13,998 Reaction score 31,757 Jun 10, 2021 #42 Mmawia said: Woote ni matapeli tu Click to expand... Kwa hiyo unaona gwajima aliwalisha watu matango poli
Mmawia said: Woote ni matapeli tu Click to expand... Kwa hiyo unaona gwajima aliwalisha watu matango poli
Bambushka JF-Expert Member Joined Jan 9, 2020 Posts 3,952 Reaction score 7,218 Jun 10, 2021 #43 Mie nilikuwa Kigamboni nikahamia jimboni Kawe, ili ikifika muda wa kwenda exchange jimbo la Marekani nisikutane na fitina. Ila daah hadi sasa sielewiiiiii!! Hii ishu sijui bado naisikilizia. Everyday is Saturday............................... 😎
Mie nilikuwa Kigamboni nikahamia jimboni Kawe, ili ikifika muda wa kwenda exchange jimbo la Marekani nisikutane na fitina. Ila daah hadi sasa sielewiiiiii!! Hii ishu sijui bado naisikilizia. Everyday is Saturday............................... 😎
OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 53,868 Reaction score 121,001 Jun 10, 2021 #44 Kawe wana bahati mbaya. Wagombea wote Gwaji na Mzee Mdee ni matapeli